Nilipotoka ft. Hard Mad Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2009
Lyrics
Nilipotoka ft. Hard Mad - Fid Q
...
Intro:
Ooh
(Tongwe Records forever)
Starararararararrarararra
RararaararararaA
Ra ra ra
(Bano!)
Ra ra ra
Hehe, yeah
Chorus:
Ni mbali sana nnapotoka na (?) kwa kusonga mbele
Ni mbali sana nnapotoka na (?) kwa kusonga mbele
Woah oh ooh ooh
Woah oh ooh
Woah oh ooh ooh
Oh ooh
Verse 1:
Yeah,
Na mmiliki cheupe manga na japo na cheusi dawa
Anga(?) zeka (?) tajiri angu twende sawa
Ma bungalow' na magari kama watoto wa Bakhresa
Kariakoo' kwa muuza duka na thamani zaidi ya pesa
Sio muuza sangara, mtaani wananiita ghetto professor
Uliza Dandara' heshima kama Dudu Kisenza
Waongo mnacheza' nyie ni wa bongo na hii ndio yenu fleva
Mnanipa kiinua mgongo nashukuru napata fedha
Naeza kumbuka nlichoona nikasahau jina la movie
Unaweza ukashindwa kuisoma kwasababu tu ya maujuzi
Kazi yangu mimi ni ku-create tu hizi roads na punch za mkono wa chuma kama mita au cyborg
Na ning'iniza emcee kama cheni za gold kwenye kifua cha pedeshee, najuwa unanisoma, bwana sheikh
Yo, na flow coz kuna F kwenye Fid
Ni Mwanza coz kuna M kwenye emcee
Now' who else can it be? (Who else can it be?)
Niite Ngosha' Ze Don, na sio James japo my words are bond
Ina make dollar ina make sense, mafala wana act
Acheni hayo masuala, kudadadeki!
Nahitaji respect na sio stress ka KRS
Arareh, arareh
Chorus:
Ni mbali sana nnapotoka na (?) kwa kusonga mbele
Ni mbali sana nnapotoka na (?) kwa kusonga mbele
Ooooh woah
Oh woah Oh
Oh woah Oh
Oh woah Oh
Oh woah Oh
Ona'
Nai change Rock city kuwa rap city
Yeah,
Ona'
Uh huh
Verse 2:
Yeah, natabasamu hata kama nina njaa
Niheshimu' kama rhymes ni majungu, kweli ufalme ni wa jamaa
Historia hujirudia sio sana ka movies za Chaplin
Amani kwa ma-emcee na maprodyuza wazuri wa sampling
Niko na customers' sihiitaji kuwa hustle naenda nao ngazi kwa ngazi, usilete u-snitch wa Danny Brasco
Siogopi kukosea ndio maana wananiita mbunifu
Nazidi' kuendelea na pakua hits kila siku
Nasema, naongea, natema vitu viko deep
Mapema naleta )? kugongea na (?) inakuwa sio ishu
Nachukia kukosea na siwezi furahia kupotea
Kimbia' nnapotembea ka unataka kunifikia Na pia' mi sina spea kama unavyo nisikia
Najua vile unionavyo sivyo ulivyo nihisia
Sichaguwi kama ombaomba kwa adui naeza kujikomba na ikamgusa,hata akiweka ukuta ka Mjomba
Mnajiuliza mimi nani, nawajibu mimi ni mtu flani
Msomi (?) kitaani' nani anasema call me (?)
Wapinzani siwaoni, mliopo gizani njooni kwa mfalme
Mnayo fanya ndotoni, mimi nayafanya hadharani
Chorus:
Ni mbali sana nnapotoka na (?) kwa kusonga mbele
Ni mbali sana nnapotoka na (?) kwa kusonga mbele
Ooooh woah oh ooh ooh
Oh woah Oh
Oh woah Oh
Oh woah Oh
Oh woah Oh
Rock City!
Hook:
Ni mbali sana nna potokea
Kuna mvua, jua kali pia
Ghetto kibao
Hi-i-yeaah...
Ghetto kibao
Ooh Oh
Ooh Oh oo
Outro:
Ma fam (?) understand
This is the king of the motherland
And just for the record, naomba mjue Rock city Hip-hop is back and running at full power, yeah