Wanangu ft. Mapanch BMB Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Wanangu ft. Mapanch BMB - Rapcha
...
The Baddest
........
Lyrics Editor IG...@premo_tz
.........
(Rapcha)
Nina love na Wanangu wote
Niggas I can Die for....
Hard time Good time tupo wote
Iba ki hi vyo....
Nina love na Wanangu wote
Niggas I can Die for....
Hard time Good times tupo wote
Iba ki hi vyo...
Hao ndo na shiba nao....hao ndo nashinda nao njaa
Hao ndo nakula nao raha...hao ndio napambana nao kwenye mabalaa
Tumeanza from nothing to something tokea mtaa
Walipo mi nipo nahuwezi kuwadiss ka mi nipo
Afu lifestyle yetu easy kamakawa,naroll na wanangu eerday cna chawaaa....
(Mapanch BMB)
Yeah...popote nnapokua na marafiki upendo unaonekana,
Usilete pigo zako za unafiki eeeh....
Popote nnapokua na marafiki upendo unaonekana,
Usilete pigo zako za unafiki eeeh
(Rapcha)
Nasema na wanaa...Wenye love na mie
Watoto wakali na Magang star,
Mtaani nina wanaa...wenye love na mie
Watoto wakali na Magang star,
Nasema na wanaa...Wenye love na mie
Watoto wakali na Magang star,
Mtaani nina wanaa...wenye love na mie
Watoto wakali na Magang star....
Wanao Gucci Gang alafu mi msela,wanapenda slope eeh,waambie kuna jela,wao wakiona tunaflex hua inawakera ndo maana hatumix nao coz we ain't jelous...
Yeah! Washakuepo wana waliojaa cheko,
Nlipokuepo nlipotoka wakaniua
('afu nawajua)
Hapa nlipo co mchezo jua,uliza kiatu kwanza bei yake unaijua...??
(Mapanch BmB)
No Shobo,
Kausha Mob,
Mi na marafiki zangu No Shobo,
No Shobo,
Kausha Mob,
Mi na marafiki zangu No Shobo...
Kaa mbaali,pande za wanangu ni hatari..Yeeh
Hatutaki mizaari,paff paff moshi kwenye daari...Yeeh
(Mapanch BmB)
Popote nnapokua na marafiki upendo unaonekana,
Usilete pigo zako za unafiki eeeh....
Popote nnapokua na marafiki upendo unaonekana,
Usilete pigo zako za unafiki eeeh
(Rapcha)
Nasema na wanaa...Wenye love na mie
Watoto wakali na Magang star,
Mtaani nina wanaa...wenye love na mie
Watoto wakali na Magang star,
Nasema na wanaa...Wenye love na mie
Watoto wakali na Magang star,
Mtaani nina wanaa...wenye love na mie
Watoto wakali na Magang star....
..........Woooooow........
follow me IG @premo_tz