Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

48 Bars Freestyle - Rapcha

...

Mwana ananiuliza kuhusu Ye na kim

Ye mwenyewe haelewi kuhusu ye na kim

Utapoteza focus kwa maisha ya simu

Usibebe vitu road we tembea na stimu

On top of the league sippin whiskey

Nahesabu baraka mpaka nachanganya namba ziko nyingi

Best Storyteller na kipenzi cha magwiji

new generation inaniona kama disney

Nikiondoka ntawaachia kivuli, Lord keep me

Kila line itawaingia vizuri niliyospit

Hawataki twende Kaanan tufe Misri

Ukiwa na confidence unaonekana huna discipline

Chunga sana watu wa kuwaeleza shida zako

Group lina tobo kuna panya kwenye cycle

Mungu fundi chuki haionekani tu kwa macho

Ombea kifo maadui uzike ndugu zako

Flexing but we die young chini ya carpet

Ukipotezwa inahitaji uwe smart ndo ujipate

Harusi za kudumu zilibaki kwenye cassete

Ndoa zinavunjwa zaidi ya glass *****

Nawaona mnavobugi ninaplay tu blind

Huwezi track hii location niko ahead of time

Huwa Nascroll interview za online

Nikiona rappers wananidiss afu wanamtag P awasign

Chuki hazijengi zinawalia MB

Jealous ikizidi kaombewe usile kenchi

Kwangu Nimezungukwa na malaika wako

wengi vibaya hadi nahisi kama heaven kuko empty

Umaskini na ushirikina ni mabesti

Respect artists no free entry

Nnaismash game tangu 2020

Na sitegemei ku cum down nina penetrate kila geti

Umri nao nduki

Future wife yuko anatwerk kwenye yatch club dubai na kichupi

Tengeneza hundi

Account yangu mi nataka ijae mbaya kama pisi iliyotoka uturuki

Bado kila mile i ride with my family

Bounce man hatufugi snake kwenye family

Wanangu 99 ka tattoo kwenye skin

Chapa Autograph pisi za kishua juu ya bikini

Nipeni muda niko tayari

Ntawaonesha Hakuna kiumbe kama mimi kwenye hii sayari

Na nna roho ya kitajiri nikiigeuza kuwa pesa

naeza nkawa namechisha rangi ya nguo na gari

No new friends more new enemies

Hakuna unyonge team yangu no bad energy

Flag inachafuka i see

Mzimu wa kutopenda vitu vya nyumbani unairudisha sana nyuma Tzee

Last king of 90’s baby

Wanangu 99 What’s up!?

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status