Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Lissa - Rapcha

...

Saa Sita Mchana jua la utosi

Chuo Boom limetema Nimekaa Kibosi hata presha ya msosi sina Prr somebody's calling, Ooh Kumbe Lissa

Nimemsave Love Of My Life

Nkaweka Na Loud speaker

Nkamsikia Anaongea Ka Analia Nkamuuliza are you okay Monalisa??

Akaniambia,

baby siko sawa kabisa

Nadaiwa Ada Na Jumatatu ndo tunaanza paper yani Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani

Laki 5 nzima ntaitoa wapi honey!?

ouhh Don Worry Nalifix Boo

Kwakuwa Nishadaka hela ya boom Nkalibeba hilo jukumu Nkamwambia basi nakutumia

Usikate Simu Kwanza love ili uniambie ikiingia

Mh Baby Mbona hii namba Ina jina la kiume'?

Akanambia hiyo line ni kaka ake alimsajilia

Laki 5 kwenda kwa Lissa Bonyeza 1 kuthibisha 2 kubatilisha mi nkathibitsha

Laki Tano na elfu 5 ya makato ya kutoa kwenye akaunti yake palepale ikathibitishwa

she was like thanks baby nimeiona

Jioni jua likipoa Nitakuja kwako kukuona

and for real nmekumiss kinoma

Nkamwambia nitafurahi Sana kama nitakuona

Saa kumi na moja mtoto hajatimba

Labda ndo anatoka home acha nvunge mida mida anafika

Saa moja kamili mtoto hajatimba.. nkasema huenda foleni kubwa ila punde tu atafika

Saa tatu usiku mtoto hajatimba giza limetinga

nshampigia Sana simu hapokei text zinadunda

Nkawaza mpaka usingizi ukanichukua

Siku ya pili simu hapokei text hajafungua

Siku ya tatu kimya nikasanuka nicheck best yake huwezi amini nilijuta kumpigia

Nkamwambia hey shem you good !?

I'm good

Siku ya tatu best yako ka nlia buyu

Nowdays Lissa mbona ana ma drama huyu Akanambia shem Kama unakifua ntakuambia

kweli Lissa amechange

Ana bwana mpya Msanii huyo ndo anaemdrive crazy Juzi Si ulitumia hela ya Ada alipokulilia

Hiyo hela kampa bwanaake akatumia

Maumivu huwa makali ukimpa kitu mtu umpendae akampatia ampendae zaidi Magoti yaliniisha nguvu chozi chini mbupu ndichi

Roho Iliniuma kinoma sikufichi

Nkaondoka Home Kwa Hasira

Nimfate Lissa coz jealous inanitesa na kila

nkimuwaza naona ka Dereva anautani na mimi

Daladala nliona inaenda taratibu nlitamani nkaiendeshe Mimi

Nkafika Mpaka Kwa Lissa

Ile Naukaribia Mlango Naskia Mziki Ila Kuna sauti ka sizielewi Nkaona siwezi gonga mlango

nkapita nao na teke mpaka ndani nlichokiona sitosahau maishani

kidume kinamkazia kitanda ndani

Ye busy Analia machozi hayatoki anaifinyia ndani Hata hawakushtuka wamuhofie Nani

Jamaa akapiga tako 8 akamwagia ndani

Nlipatwa kizunguzungu nusu nianguke sikuweza kuamini

Lissa Mbona umenitenda hivi nmekukosea Nini

Ungeniambia tuachane ningekuacha huru mwisho wa siku ningepona sasa haya yote ya nini

Lissa akanibadilikia sura mpaka sauti amanichenjia akaanza kunitimua huku na matusi ananishushia

Yeye na Bwanaake wAkanipush mpaka nje Akanipigia kelele ya mwizi watu akanijazia

Watu wakanijalia wameshika mawe na marungu wakanipiga Kama mwizi huo mtaa sina ndugu Hakuna wa kunitetea

wakanivika tairi ya Gari wakawasha Moto fasta nkaanza teketea

Maumivu ya moto ndo haya

Walioniunguza moyo wameuteketeza na mwili vibaya

Nna sekunde chache za kuivuta pumzi ya dunia nzuri iliyojaa binadamu wengi wabaya

Sawa Lissa Ninakuacha ufurahi

Mapenzi nliyokuonesha umeamua kunitoa uhai Ahadi tulizoweka zimezimwa na tamaa zako

mi nakwenda, Karma itakulipa bye bye

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status