Mtoto Wa Taifa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Mtoto Wa Taifa - Rapcha
...
Ikawa ucku ikawa asubuh
Nkaivuta pumzi ya dunia
Nkiwa nalia alieni beba cmjui
Sauti ya neesy ikasikika ikisema
(hongera umepata mtt wa kiume
fanya dua wasimtwae maadaui)
Baba alikua mkulima
Mama alikua mwanaharakati, mwsho akingia kwny siasa mazuma nkiwa na dada yang mmoja kaka wawili