Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Suu - Rapcha

...

Ugali wa kutosha na sukuma wiki

On repeat, Siku saba kwenye wiki

Full

Midoli inapamba magetto watoto wanacheza na miti, Ntiti tu

riziki haizikibi wala hainunuliki na uwezo haufichiki rafiki

Mkunga nmechelewa kufika kazini na watu wana uchungu na mziki

Huu umaarufu ni mzigo wa mwiba

Mi naubeba juu ya kipara kibabe

Rapper anaetaka hii tabu itashuka vibaya athubutu hata anitaje

Niko busy natengeneza culture ambayo watoto wenu lazma waifate

Mfalme wa mwisho kwa kizazi chake

Staki izo flowers i need a garden (wuuh)

Mkandarasi niko zangu site vibarua njooni mbebe kokoto

Nawachongea barabara ya rap, mwanaume kazini pita kushoto

Na kwa mwendo huu nahisi ntabaki majivu maana ninazidi kuwa wamoto

Rapcha ni sumu ya panya ushajua umbali gani natakiwa nkae na watoto

(Lighter sound) Oh my God!

Kazi na dawa ije pesa na power,

Ukishiba faida umekula loss

Koti la babu for now liko safi ‘coz chawa wanaishi kwenye koti la boss

Naulizwa kipindi gani huwa naenda nyumbani kukoga kukosha mikosi

Of course Mangi hata kabla ya december utaniona tu hai nikitoka moshi

Ushindi hujaga na pain, ukija na favor tu jua kuna siku utapay

Na bei inakua haisogei, delay ikizidi tu boss ananuna haongei

Na daily wanakukebehi

Waliokubeba wanabwaga hawakutetei

Vikwazo kwenye high way

Then Jina lako wanalizika day by day

Nashinda mpaka sienjoy pambano

so mimi ni mfano sistahili shindano

Bar kwa Bar hakuna mchuano

Nkiskia tu mwano naleta kibano

Namaliza awamu naongeza mitano

Jimboni mtaniona after miaka mitano

Ukiwa kwa sangoma unachanwa na nyembe we bwege hospitali unaogopa sindano

Shhh Bar zinaingia kwa mwili

Usichezeshe tako ilo utavunja syringe

safari njema ka una catch feelings

Wenzako wanakusubiri

Nashusha fire now sema suu

Namchana idol wako sema suu

99 hatuingiwi kiboya boya watakuvunja taya sema suu

Nani anataka noma sema suu

Toa hata ka mguno sema suuu

Nalea watoto silei ujinga natia tu block chap sema suuu

Nafanya nlichozaliwa kufanya ukinibania I don’t really care

Huwezi shindana na kazi ya Mungu ukadhani watoto wake watakuchekea

Radio mbao frequency inasomeka 99 Now On Air

Mnaeza kutafuta kazi nyingine maana huu mziki nawaonea

Nashusha fire now sema suu

Namchana idol wako sema suu

99 hatuingiwi kiboya boya watakuvunja taya sema suu

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status