Amen ft. Lady Jaydee Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Amen ft. Lady Jay Dee - Rapcha
...
Aaaaah
hebu tazameni matendo ya mungu yanavyotisha,
Amefanya mengi makubwa ya kustajabisha,
Marafiki leo wanaupendo kesho umekwisha,
ila upendo wa mungu hauwezi kuisha,
Naamini neno lako linaishi forever,
utandawazi hauwezi kubadili dhambi ikawa haki never,
umenifikisha sehemu ambazo wata sikuwahi kuzifikilia sifa zako nitahadithia,
unaniepusha na maadau unanilinda na mabaya na ambayo hata siyatambui,
mungu uliye hai hata mimba zilizotokea kwenye mazingira ya dhambi watoto umewapa uhai,
na kama pumzi unanipa buree sasa kivipi tamaa ya pesa initenge na wewe,
Na nashukuru kwa kunileta hii sayari
milele nitakuamini mungu wa kweli