Unaua Vibe (Remix) ft. Femi One & King Kaka Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Unaua Vibe (remix) ft Femi One & King Kaka - Rapcha
...
Nikapatana na mchizi
Akanishow vile ameomoka
Nikamshow basi alipe bill tukiondoka Kwanza sikuamini ile mtaa anapotoka
Saa za mechi mi nacheki jo boxer imetoboka
Haina issue nikaona wacha nimpe vitu Nikavua mini ndo acheki ka see through
Leo kiuno nitampea na mchezo wa kati
Lakini nashindwa wapi mti kwenye huu msitu?
Ikiwa hawezi amsha nikaona wacha tulale Labda mida yake masaa yatadunga mshale Masaa yake mi naskia naguzwa --
Kumbe Dah sio mchizi ni bonge la kunguni
I say unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata steam
Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata steam
Kaniona fresh akaja rest
Nikupe company mi nikasema yes Kaniomba hug tu mi nikaona sio kesi Harufu ya kwapa dada mbona sio fresh?
Ukinigee chuna usiniletee noma
Tunachat utamu unascreenshot, we koma Najipenda kinoma usiniletee homa
Yaani tumepuna macorona uniletee ngoma
Mademu wa mjini kavu muulize brother babu Tumia kinga ukishaona kachora ink ya tattoo Ukidata fasta na make up itakucosti
Akinawa uso inabaki sura ya passpoti
I say unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata steam
Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata steam
Nishapata dem juzi namarinate kejani Kaniguarantee doshi inadoz ndani Pilka pilka ya kuteremsha toja
Boy wangu kwa mlango anagonga
Anyways ni Friday nimelipa Na kuna dem flani nimealika Uchi hata CD nimevaa
Niko ready kucum anadai --
Juzi tu si nimepiga kura Washaingia ofisini ni pesa ninakula Washauza nchi sasa watakinda nini Ni sisi yaani nyinyi, wajinga nyinyi
Unaua, unanikata steam Unaua, unanikata steam Unaua, unanikata steam Unaua, unanikata steam
Ametinga kinoma Mwache acheze ajimwage Tinga kinoma
Dj tena idondoshe