Utawala ft. Papa Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2021
Lyrics
Utawala ft. Papa - Rapcha
...
Verse 1
Baba alijua ntakuwa Engineer wa huu mchezo
Ma akanipa Jersey ya huu mchezo
Navyokaza sichezi sio mchezo
Kama ulishapokea maelekezo sa napindua utawala
I'm cocking my AK47 nakiwasha
Napalipua bongo kitanuka hadi kinshasa
Mainstream hakuna mchongo zaidi ya ngono tu na anasa
Na wadwanzi tumewanasa sa napindua utawala
Producers wana loop sound, no creativity
Wasanii wana copy muziki wa nje na hawa fit
Copy muziki wa Naija na S.A na hatuwafikii hatuwezi baki hivi, sa napindua utawala
Wasanii hawatoi ngoma za kwenda, ambazo Djs watapenda wanabaki laumu Presenters tu Kifala
Na siku hizi wamekosa agenda daily mitungi kupenda heti ndo biashara
Sa napindua utawala..
Chorus..
It's about time i wanna do Changes
Napindua utawala, men napindua utawala
It's a time i wanna do changes
Napindua utawala, mazee napindua utawala
Its about time I wanna do changes napindua utawala, napindua
It's a time i wanna do changes
Napindua utawala, mazee napindua utawala
Last King Of 90’s Baby
Niliaga Mtaani naenda kutafuta mamilioni
coz I’mma dream chaser
So nnavyoicheza game machizi wanajifanya hawanioni
Sie hata hatuna presha
Naleta breaking news.. LETAA
I wanna take you back to the music.. LETAA
Wana si mnajua nna ujuzi LETAAA
I swear imma take you back when music was music
Tena Ooooii Kimenuka
Washajipenyeza Sana tunaziba nyufa
Sound from heaven, Haiwezi kufa
Me I keep it One hunnid One Hunnid One Hunnid
Outro
Tunaenda Juu... Chini NO
In case you don know now you know
Tunaenda Juu.. Chini NO
kupata ama kukosa don't worry
Wape Taarifa Waliokunja kunja kunja
Tushaikamata line tunakuja kuja
Tuko Na Hasira Damu Zitavuja Vuja
Ukikaa Njiani Kiboya Tunavunja Vunja
I just wanna do changes