Haliwi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Haliwi - Jahazi Modern Taarab
...
Si shekhe wala askofu la mungu awaliwezi walaaa
Si mgangaa sio chifu sikwakufunga ilizi walaaa.
Waja zenu majisiifu lamungu halina miiiizi
Ndio wenu uzaiifu ukunali amuweeezii x2.
MOla mola molaa nimuadiliifu🥺🥺nyie nyie
nyiee zenu uchocheeeezi x2
No excuses no enliiz kwaa anolitaka mungu.
Si rahis wala uuweezi kuulipangua la munguu x2
Mimi nipo tangu enzii waala akuna mizungu kwa yote aloyapanga mwenyez uuaji ardhi na mbingu
Wakupinga atokeezi akuna mwenye mizuungu x2
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lisilo nifika mola ajalipitisha Oooooooh litanipitia kaando 🤣🤣
Litalo nifika mola amelipitisha Oooooooh siwez kuweka fuuundo
Siogop na sito jitisha rohoo zenu zenye fundo endeleeni kunitisha nitaafutien skendoo x2
Hila chafumtazishaa mtapigwa na vimondoo x2
Huwanalitawa ni uwezo wake mungu yenu hayajawa mshukuru na kuomba mungu x2
Kunichukia sio poa akiamungu x4
☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
Nani ahalibikiweee