Mtaniona Hivi Hivi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Mtaniona Hivi Hivi - Jahazi Modern Taarab
...
ujuwe ulianza ufizi ndo ndio toa hajaa sitakondaa boti kwa vitiuwosiujabarii hayo ni maruperupe aa maneno chunguu na kuniwekeaa na dhirii ili mie niogopee×2 nyie si mungu punguzeni mumkari na yenu mapepeee nikosaa langu kukaanajii vizuri ni kuwarepaa ni kurepee ×2 mambo mengine nomaa washikaji hayapendezii majina kuchafulianaa kwa sababusho vya wajaa na yenu uchochezi na hizi kwangwaja kuharibu hamuwezi aliyopangiwa mjaaa,bahati ya mwenyezi ni ngumu kwa mjaa,mama wa mutikazi nipo nawangojaa, kama ni wakweezi tunguweni na ngojaa×2 heshima yangu imewatia kiburi mnanipaka matopee aa nautuwangu umewatiwa jeuri mnaona mnilipa abasi wezanguu ya mapenzii×2 japo ukweli hamnaa mnamuudhii mwenyezii oo mie mtaramuu sanaa ila kwa huyu siwezii×2kama mnahamu sana ninaewangu mpenzii wenyewe tunapenda nashona na dariziii×2 mnikuta muungwana namuamini mwenyezii hivihivi mtaniona kunishusha hamuwezii×2 mtaniona hivihivi mtanionaa siofiizenu njamaa mtarabanaa oo mtarambani mjaa hanitii homaa kwangu mtasubiri sana nibure yenu majungu naogopa ya subhanaa sihofu ya mlimwengu×2 (madhali mungu anaonaa anaonaa roho zenu zinafundoo na hivihivi mtanionaa sihofii zenu vishindoo ) lakusema mimi sina na moyoni si fundo kaniongoza subhanaa taratibu wangu mwendo hadaa ya mjaa hunena mungu analipi tendo (.jamani mungu anaonaa anaonaa roho zenu zinafundoo na hivihivi mtanionaa sihofii zenu vishindoo)sitajitia hashuo kusema yasonamaana msimamo ndo huo mungu anatosha sana muungwana akivuliwa nguo hasimamii huchutamaa (madhali mungu anaonaa anaonaa roho zenu zinafundoo hivihivi mtanionaa sihofii zenu vishindoo) ooooo (mtajibeba) aaa (mtajibeba) nichukieni mwana wa mwenzenu (mtajibeba)sijali vishindoo vyenu( mtajibeba) sihofu porojo zenu (mtajibeba)aaa(mtajibeba)ooo(mtajibeba) mmenipandisha mizukaa ×2(tawile×2) mzukaa wangu umepandaa ×2(tawile×2)