Hasidi Hana Sababu Lyrics
- Genre:Taarab
- Year of Release:2021
Lyrics
Hasidi Hana Sababu - Jahazi Modern Taarab
...
Kweye mafanikio yoyote
Hasidi huyachukia
Uendelee kwa lolote
Roho ina maumbua
Ashakuzungukia kote
Mradi kukutimulia
Hasidi ni mtu yoyote
Mwenye choyo na chuki piaaaa
(instument)
Najua wanichukiaaa
Ndani ya nafsi yakooo
Uhasidi umekujaaaa
Kwaunayo nifanyiaaaa
Ni ndani ya nafsi yakooo
Mungu anavyo niokoaaa
Najua wanichukiaaa
Ndani ya nafsi yakoo
Uhasid umekujaaa
Kwa unayo nifanyiaaa
Ni ndan ya nafsi yakooo
Mungu anavyo niokoaaa
(Hasidi ukufanikiwa
Weweseka kwa yakooo
Moyoni anaumiaaa
Ridhiki namiminiwaaa
Bakia na choyo chako
Nakunisema vibayaa)×2
(Zuri langu langu kilichukia
Hiyo mbaya mbaya roho yako
Utakonda konda kwa roho mbaya
Na dawa dawa kwako haipo)×2
Atakutibu nani(maiko jackson wapiii)
(Instrument)
(Na hili hili kaa la moto
Kwako nalishindilia upone
Maradhi ya husda
Acha mambo mambo ya kitoto
Huo ugonjwa wa kijitakia
Safura ya chuki ni shida)×2
(Nakutia tumbo joto
Yangu yakininyookeaaa
Utajikondesha kwa husdaaa
Nikiongezeka kipatoooo
Wewe una nyong'onyea
Mbona unajipa shidaaa)×2
(Mambo yangu motomoto
Watakakuniharibia hasidi
Mwenye hasada
Walahuni tiijoto
Wewe ukinichukia
Huendekeza hasada)×2
(Hasidi hana sababu
Nalijua akitaka kuharibi
Nalitambua ooh)×2
Na wenye husda na husda zao
Na wenye choyo na choyo zao
instrument
Jicho la hasidi lisinione
Jicho la fisadu lisininiene
(Mwenzio kunyookewa roho isikudunde
Hasidi usojijua kuniombea yasinyooke)×2
kuandik kuwa kapewa ni ya mungu peke yake
Jicho la hasidi lisinione
Jicho la fisad lisinione
Insrument
We father mauji achia solo hilo
mfalme kak usiwape vidonge watoto
Wadogo syrup ndo yao eeh
wataelewa tuh
Eeh kaka ake na mie achia kinanda hicho
(Instruments )