Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Langu Rohoni - Jahazi Modern Taarab

...

Stahii na moyo wa subira, ni ngao njemaaaaa...

Hiloooo njia njemaa, kuondoa lawamaaa....


Hii ndo dunia, Dunia rangi rangiii....

Na watu kwenye dunia, aso hili hana lile... X2


Mdomoni silitoi, jamani langu rohoni

Kunyamaza sikosei, namuachia manani x2


Sipendi kusema naogopa lawama, walimwengu nawajua

Japo yatauma mamb yawanadama, bora kuwapotezea x2


Walivyoniandama japo roho yaniuma, lakin ninatuliaaa x2


Sikuzoea kusema, kubishana na wanadamaaaa

Sijutiii na sitajutia... X2


Mwenye maneno mengi, hua namuangalia

Wala ubaya sijengi, wote nampotezea x3


Najua hii ndo dunia, dunia rangi rangiij eeehh

Na watu kweny dunia, aso hili hana lileeee x2


Lolote lile watakutafutia, iliupate upige kelele

Mie mdomo sitaufungua, ndo kawaida yangu milele x2


Wajinga wajinga nawapotezea, katu hawanipigish kelele

Binaadam ndo wamezoeaa, kuyazush hili n lile x2

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status