Jahazi - Ng'ombe Wa Masikini - Fatma Ali Lyrics
- Genre:Taarab
- Year of Release:2022
Lyrics
Jahazi - Ng'ombe Wa Masikini - Fatma Ali - Jahazi Modern Taarab
...
...........
inshallah salama salamaaa usalimieee
..........
........
muwindaji ni mmoj wachunaji huwa wengi ×2
mungu anajua yetu anajua yetu yaliyofichika nafsin
mungu kaficha ya watu ya watu kila mja duniani
mungu anajua yetu anajua yetu yaliyofichika nafsin
mungu kaficha ya watu ya watu kila mja duniani
kwa hizi nafsi zetu tungejuana undani huyu roho ina kutu tungeuana duniani
........
maana unakaa na watu hauwajui undani
msaada na kila kitu unautoa moyoni×2
kumbe wana vyao vituuu na roho za kishetwaniii leo mimi sio mtuuu nishatiwa ubayani ×2
(CHORUS)
.........
kujuana nafsini tusijeumbana chukiiii
tungeonana ......wazazi wasingeota mvi
.......
kweli ng'ombe wa maskini (abadani hajifungui)
Ila namuomba manani(aniongezee uhai)
wanivisha ngozi ya chui ya chuiii
za kondoo mmevaa nyieeee
leo nyie hamuyajui hamuyajui nilowafanyia nyieeee ×2
mema yangu ya illahi kwanini wayafukie
ckujua ya illahi kama mbaya usimleeee ×2
kilo changu hakikai najinyima nawapa nyie
mie mbaya leo hii wema mmekua nyie ×2
nashukuru alhamdulillah mungu awazidishiee
awape mema maslahi shida msizikiee ×2
(repeat chorus)