Nina moyo sio jiwe Lyrics
- Genre:Taarab
- Year of Release:2022
Lyrics
Nina moyo sio jiwe - Jahazi Modern Taarab
...
Najitaidi kuyafunga kwasababu sababu sitaki stress,Ila najua ndo binadamu mnayakuza unafiki hamkosi,Nawambia lahasha nishawachoka kwa mnayoyazusha,
Nawambia lahasha nishawachoka kwa mnayoyazusha, Aheri kila sikumie,mniseme mie,mmekamilika nini nyie au malaika nyie,
aaaaaah sio wasomi kwa mnavyonisakama hata nikikupuuzeeni,maana hamwishi, hamwishi kunisema hata haya hamuoni,
aaaaaah sio wasomi kwa mnavyonisakama hata nikikupuuzeeni,naaaa hamwishi hamwishi kunisema hata haya hamuoni,kweli sipendi kweli sipendi lawama