Nipe Stara Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Nipe Stara - Jahazi Modern Taarab
...
ewe mola wangu nistriii, mie mja wako nipe kheri,2/
nipe stra nistrike na watu, nipe nura nikae mbele za watu,
nipe kudra nizidi kuumiza watu,
woote wenye roho za kwann,
na wasonipenda mola ni lahul,
nipe strah kwa wanao nichukiaaah,
nipe strah kwa mabaya wanao niombeaaah,2
dunia adaah ulimwengu shujaah,
naomba shufaah na dunia nisilike2
Siri na balaa mabaya yasinifikeee
mbele yako hamna shujaa tujidai makeke,2
si wote wabaya na wema c wengi katika duniaa,
na alo mbaya c sura na rangi utamtambuaaah,2
Kuna waso haya fataki fambingii bure watakuchukia, wasojua vibaya chuki zisizo msingii bunge watakuekeaaa,2
naimba idaya yaniepuke mengi ya wanaonichukiaa,
nistri na wabaya wenye chuki na vigingiimabaya wakaniombeaaah,2
nipe strah mola wangu na wenye chuki binafsi,
kwa wenye chuki na majungu wanaoniombea nuksi,
nistriii mola wangu nisisumbuke duniani,
na yoyote mbaya wangu asifanikiwe asilani,
nishibishe nishibishe na subira, nipe moyo moyo wa matumsini, kwa yoyote yoyote ninaemkeraa, akiniona agulike moyoni,
choko choko choko choko zisizokwisha,
zipeperuke zipeperuke anganii,
zisinihaa haribie maishaa,