Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Kwa Hilo Hujanikomoa - Jahazi Modern Taarab

...

Ulitaka kunitia kiroho dunda lakini wapiiii

ulitaka kunitia kiroho dunda lakini wapiiii

Mola amenipa bora zaidi anaye ni penda anaye ni peeendaaa

mola amenipa bora zaidi anaye ni penda anaye ni peeendaaa

kwa taarifa yako mie mtu na bahati yangu

kwa taarifa yako mie mtu na bahati yangu

kwa taarifa yako mie mtu na bahati yangu

kwa taarifa yako mie mtu na bahati yaaangu

vitu stara ndo vazi langu

utoe eti manuru alienipa munguuu

vitu stara ndo vazi langu

utoe eti manuru alienipa munguuu


ulidhani utanikomoa lakini wapii

lakini wapii

umeshaula na juaaa

ulidhani utanikomoa lakini wapii

lakini wapii

umeshaula na juaaa


sijaipata hidhara

kwangu ulipo mchukua

kwa vile sina Papara

na mi nika kuachia

sijaipata hidhara

kwangu ulipo mchukua

kwa vile sina Papara

na mi nika kuachia


mola kanivua dhara

kanivuaaa

mwingine kaniletea

kaniletea

mie mja wa stara

wa staraa

kama hujanielewa

nielewaaa

mola kanivua dhara

kanivuaaa

mwingine kanilete

kanileteaaaa

mie mja wa stara

wa staraa

kama hujanielewa

nielewaaa

nimepata mbora mwenye hadhi na muruaaa

sasa nazidi kung'ara donge litakuingiaa

nimepata mbora mwenye hadhi na muruaaa

sasa nazidi kung'ara donge litakuingiaa


kwa hilo hujanikomoa

mambo yangu yanaiendea

nimempata mwingine natanuaa

kwa hilo hujanikomoa

mana roho yangu imepoa

mapenzi moto naliaa

kwa hilo hujanikomoa

mambo yangu yanaiendea

nimempata mwingine natanuaa

kwa hilo hujanikomoa

mana roho yangu imepoa

mapenzi moto naliaa


kupata majaliwa

nakupasha kabisa

huyo ulio mchukua

mbona anaku nyanyasa

kupata majaliwa

nakupasha kabisa

huyo ulio mchukua

mbona anaku nyanyasa

kama bado hujajua

hujajuaaa

fungu lako lamkosa

lakukosaa

ukae ukalielewa

elewaaa

huzibi yangu fursa

yangu furusaa

kama bado hujajua

hujajuaaa

fungu lako lamkosa

lakukosaa

ukae ukalielewa

elewaaa

huzibi yangu fursa

yangu furusaa

mola kanijaalia

kwa mapenzi natakataaa

huyu huba azijua

kanilewesha nasaaa


kwa hilo hujanikomoa

mambo yangu yanaiendea

nimempata mwingine natanuaa

kwa hilo hujanikomoa

maana roho yangu imepoa

mapenzi moto naliaa

kwa hilo hujanikomoa

mambo yangu yanaiendea

nimepata mwingine natanuaa

kwa hilo hujanikomoa

maana roho yangu imepoa

mapenzi moto naliaa


na hizo fitina zako

mimi ndo riziki yangu

tena kanipa ujiko

mimi kwa mpenzi wangu

anazidi kunipenda

mtu na bahati yangu

na mimi nimemganda

raho zake ndiyo zangu

na hizo fitina zako

mimi ndo riziki yangu

tena kanipa ujiko

mimi kwa mpenzi wangu

anazidi kunipenda

mtu na bahati yangu

na mimi nimemganda

raha zake ndiyo zangu


*mwisho/the end*

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status