Sauti Yangu Bado in Nguvu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2009
Lyrics
Sauti Yangu Bado in Nguvu - Kurasini SDA Choir
...
Sauti yangu bado ina nguvu, naweza kutangaza injili
Najua wakati utafika, sitaweza imba tena x2 .
Najua wakati utapofika
Nitanyamaza kimya
Sauti yangu itatoweka,
nitaporudi mavumbini
Nitawezaje kunyamaza kimya,
sauti yangu bado ina nguvu x2.
Miaka yangu ni ya kukopeshwa, naishi kwa neema za Bwana
Hakuna njema nililotenda, kushinda waliolala x2.
Sioni sababu ya kukaa kimya, jeshi la Bwana liko vitani
Nitafichaje talanta yangu, nitaulizwa na Bwana x2.