Maisha Bila ya Kusifu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Maisha Bila ya Kusifu - Kurasini SDA Choir
...
maisha bila ya kusifu
sioni faida yake
Kristo astahiliye sifa siwezi kukaa kimya
Bila kristo Mimi siko
Emmanueli Jehova shalom
astahili sifa zote
Nitamsifu maisha yangu yote
CHORUS
Najua Yesu alikonitoa
Ni Siri yangu na yeye tu
Nilistahili kifo Cha milele
Rehema zake zikaniokoa
Maisha bila kusifu
Nitawezaje kukaa kimya
Nashangaa maajabu yake
Maajabu ya pendo lake
Maisha bila ya kusifu
Shetani atajiinua
Maisha yaliyojaa sifa
Yesu atainuliwa
Kinywa change kitamsifu
Emmanueli Mungu pamoja nasi
Adonai Jehova Jireh
Yapendeza kusifu jina lake
CHORUS