Waliofika Kwake Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Waliofika Kwake - Kurasini SDA Choir
...
Stanza 1
Watu wengi walikuja kwa Yesu, hawakubakia kama mwanzo
Walibadilika wakazaliwa upya, jaribu leo utabadilika
Chorus
Waliofika kwake (fika kwake), wakiwa ni vipofu (vipofu) walifanyika wana (wana ×2) wana wa kifalme.
Waliofika kwake (fika kwake), wakiwa ni viwete (viwete) wakatupa magongo (yao ×2) wakaenda zao. ×2
Stanza 2
Namtafuta atakae nitoa hapa (yuko wapi)
Nimezungukwa na adui kote kote (niende wapi)
Namtafuta Yesu, ni Yesu pekee wakunitoa hapa
Namtafuta atakae nitoa hapa (Yesu pekee)
Chorus
Waliofika kwake (fika kwake), wakiwa ni vipofu (vipofu) walifanyika wana (wana ×2) wana wa kifalme.
Waliofika kwake (fika kwake), wakiwa ni viwete (viwete) wakatupa magongo (yao ×2) wakaenda zao. ×2
Stanza 3
Nimezunguka kote kote, ilinimuone Yesu
Kama Zakayo alitamani kumuona Yesu
Akagundua ufupi wake akapanda juu ya mkuyu
Yesu akamuona akamwambia shuka, wokovu umefika kwako.