Anza Vyote na Bwana
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Anza Vyote na Bwana - Kurasini SDA Choir
...
1.
Anza vyote na Bwana tembea na Bwana furahi na Bwana ushindi mchana kutwa shikamana naye usimwache Bwana rafiki mwema bila Yesu (ni bure×4) utaanguka (anza vyote na Bwana ushindi daima×2)
(Chorus)
Anza mambo yako alfajiri wewe ni wa ahadi ushindi wako mkononi mwa Bwana tegemea ushindi kabla anga halijachafuka mpe Yesu nafasi machungu yako yote (mpe Yesu×2) nafasi.
2.
Tegemea ushindi kwa Bwana amani kwa Bwana faraja kwa Bwana safarini utabarikiwa ulinzi wa Bwana uko juu yako usikatishwe tamaa simama imara pambana ufike mwisho (anza vyote na Bwana ushindi juu yako×2)
Similar Songs
More from Kurasini SDA Choir
Listen to Kurasini SDA Choir Anza Vyote na Bwana MP3 song. Anza Vyote na Bwana song from album Ukuta wa Jeriko is released in 2010. The duration of song is 00:04:50. The song is sung by Kurasini SDA Choir.
Related Tags: Anza Vyote na Bwana, Anza Vyote na Bwana song, Anza Vyote na Bwana MP3 song, Anza Vyote na Bwana MP3, download Anza Vyote na Bwana song, Anza Vyote na Bwana song, Ukuta wa Jeriko Anza Vyote na Bwana song, Anza Vyote na Bwana song by Kurasini SDA Choir, Anza Vyote na Bwana song download, download Anza Vyote na Bwana MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Elias simion 60x
Elias simion 60x
Hii
Elias simion 60x
Love
Elias simion 60x
Love song
Marion Jerome fzlgw
Amen I feel so blessed aki
Sylvia foxyc
This song is a blessing to me each and every morning before i start my day
Good