Majumba Watoto Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2005
Lyrics
Majumba Watoto - Kurasini SDA Choir
...
kamwe sitaacha kumtumikia nmeonabaraka zake amenifichia aibu yangu kati ya watesi wangu hata sasa sijapungukiwa mezani nabarikiwa ajua mavazi nivaayo viatu miguuni
majumba umeyatupa magari umeyatupa watoto umeshatupa halelujah twakusifu e bwana tubariki
dunia na vyote vilijazavyo vyote ni mali yyako bwana umekubali viwe vijuu yetu upendo wa jinsi gani kikombe changu kinakulika watesi wanishangaa umenikumbatia mkononi rahani napumzika