Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2011

Lyrics

Neema Iliyoshuka - Kurasini SDA Choir

...

Ni habari njema kwangu (Ni habari njema kwangu), habari njema kwako

Sikiliza kwa makini neema ni bure, ni bure

Ilitolewa kwa wote (Ilitolewa kwa wote) tulipotanga mbali

Kama kondoo bila mchunga, kwa neema yake akatuokoa

Neema ilishuka ilisafisha njia ya wokovu

Ilitolewa na Mungu Baba kwa wenye dhambi

Neema ya bure juu yangu, neema ya bure juu yako

Ilitowa kwa ajili yangu na ilitowa kwa ajili yako

Pokea neema bure toka kwa Mungu Baba

Yesu alilipa bei (Yesu alilipa bei) neema ya bure kwangu

Niliye stahili kifo kabeba msalaba wangu

Anachohitaji kwangu (anachohitaji kwangu) nimpe moyo wangu

Apate nafasi ndani yangu, kwa neema yake ataniokoa

Neema ilishuka ilisafisha njia ya wokovu

Ilitolewa na Mungu Baba kwa wenye dhambi

Neema ya bure juu yangu, neema ya bure juu yako

Ilitowa kwa ajili yangu na ilitowa kwa ajili yako

Pokea neema bure toka kwa Mungu Baba

Neema ilishuka ilisafisha njia ya wokovu

Ilitolewa na Mungu Baba kwa wenye dhambi

Neema ya bure juu yangu, neema ya bure juu yako

Ilitowa kwa ajili yangu na ilitowa kwa ajili yako

Pokea neema bure toka kwa Mungu Baba

Neema ilishuka ilisafisha njia ya wokovu

Ilitolewa na Mungu Baba kwa wenye dhambi

Neema ya bure juu yangu, neema ya bure juu yako

Ilitowa kwa ajili yangu na ilitowa kwa ajili yako

Pokea neema bure toka kwa Mungu Baba

Neema ilishuka ilisafisha njia ya wokovu

Ilitolewa na Mungu Baba kwa wenye dhambi

Neema ya bure juu yangu, neema ya bure juu yako

Ilitowa kwa ajili yangu na ilitowa kwa ajili yako

Pokea neema bure toka kwa Mungu Baba

Neema ilishuka ilisafisha njia ya wokovu

Ilitolewa na Mungu Baba kwa wenye dhambi

Neema ya bure juu yangu, neema ya bure juu yako

Ilitowa kwa ajili yangu na ilitowa kwa ajili yako

Pokea neema bure toka kwa Mungu Baba

Neema ilishuka ilisafisha njia ya wokovu

Ilitolewa na Mungu Baba kwa wenye dhambi

Neema ya bure juu yangu, neema ya bure juu yako

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status