Haja ya Moyo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Haja ya Moyo - Kurasini SDA Choir
...
Haja ya moyo moyo wangu ni kumwona yesu ajae kiu yangu ni kumwona niliye mngojea (Anapo kuja kuchukua marafiki zake kwa maisha ya baadae katika makao makao ya watakatifu mji wa jerusalemi x2)
chorus
Haja ya moyo wangu oh Rafiki ni kuketi
pamoja na Bwana yesu fumbo litakapo
fumbuka kwaheri Dunia kwaheri yalio
pita yameshapita mbele yangu sasa
Ninaona Nuru (kando kando ya Bahari
marafiki tutakutana Mambo yatakua
mapia kinyonge hakitaingia x2)
Dunia hii Dunia si kwetu twapita muda kitambo kufumba na kufumbua tutapaa winguni (katika makao makao ya watakatifu tukiongozwa na yesu marafiki waliotawanyika pande zote tutaketishwa pamoja x2)