Mikaeli Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2012
Lyrics
Mikaeli - Kurasini SDA Choir
...
bwana ameahidi kuonyesha njia pasipo njiaaaa akutane na shida zako akupe kheri
atatengeneza njia pasipo njia Waja wapiteeee ndiye mungu wa Yale yasiyowezekana
ataonyesha njia kwako katikati ya Giza Nene kati ya tanuru la moto liwakalo
Mikaeli atasimama upande wako utashindaaaa
ataonyesha njia kwako katikati ya Giza Nene kati ya tanuru la moto liwakalo
mikaeli atasimama upande wako utashindaaaa
ni Mungu anaetamka na ikawa amini Leo fadhili na neema yake iwe juu yako
akuinulie uso wake popote akurehemu
ndiye Mungu wa Yale yasiyowezekana