Sawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sawa - Jux
...
(Its Bob Manecky)
Huna kama chama pinzani
Kila siku matatizo
Inaniathiri ndani kwa ndani
Naikosa chanjo oh hoo
Acha visa nazo unanikula moyo
Usingizi sipati
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama, kwako sioni
Nimeshika makali mpini wewe
Nasema sawa, sawa
Unikate vipande vipande
Sawa, alaa sawa uuuh
Huishiwi kisirani
Yaani kila muda umenuna
Sasa mimi nitaongea na nani?
I wish ungejua inavyouma
Yaani bora nilewe, usingizi sipati
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama, kwako sioni
Nimeshika makali mpini wewe
Nasema sawa, sawa
Unikate vipande vipande
Sawa, alaa sawa uuuh
Nimeshika makali mpini wewe
Nasema sawa, (sawa sawa)
Unikate vipande vipande
Sawa, alaa sawa uuuh