Fimbo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Fimbo - Jux
...
kwanza kabisa thanx to the lord
uzuri wako sio wa (Ku download*2)
unanishangaza kila siku mi sichoki
mwingine kamwe mi sitaki
Na we ndo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mamy
Nikuweke tu kabisa ndani
Kwangu we ndo burudani
Wewe kiboko yangu baby