Loading...

Hasara
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Hasara - Zuchu
...
haaa haaaa mmh aah
mistaki tuongee moyoni na machungu machungu sijetenda dhambi mmh ila chozi la mnyonge malipo Ni kwa Mungu kwa Mungu Bora nionekambekama subira ina mwisho ina mwisho wake maana asali umeimaliza mzinga ukanifanya taira suluhisho nimeona kwako hamna moyo wangu si wamninga najitoa tunagombana kwa vitu vidogo kosa si kosa unageuka mbogo huna dogo wewe hunipendi unang'ong'a kisogo punda asiende eti bila magongo penda zogo wewe kukupenda Tena(staki) nimekoma (staki) kukuona (staki) narudia tena (staki) kukuona (staki)nimekoma (staki) Bora nihesabu kwa penzi nimepata hasara×4....kina Cha maji matitu kaniacha bila boya nijifie eeh kosa langu nini mchana nauona kama usiku nachacha je maumivu myasikieee yasiwakuteniiiii na kama habadirii ya bayana umeniumbua umeniadhiri umeniacha mnyama na nguo umenivuaa
(back to chorus)
.......
Similar Songs
More from Zuchu
Listen to Zuchu Hasara MP3 song. Hasara song from album Hasara is released in 2021. The duration of song is 00:03:53. The song is sung by Zuchu.
Related Tags: Hasara, Hasara song, Hasara MP3 song, Hasara MP3, download Hasara song, Hasara song, Hasara Hasara song, Hasara song by Zuchu, Hasara song download, download Hasara MP3 song
Comments (44)
New Comments(44)
piliknejj
Robert 5wjj6
Robertvoxn1
