Tanzania Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Tanzania - Jux
...
ah aah aah-ah
ah aah aah-ah
ah aah aah-ah
nasitaumia moyo wangu
nitasherehekea maisha yangu,
baba
nimejifunza mengi
mengi sana
kwako baba
kwanza muda sio rafiki sana
miaka sita tu umefanya vya maana
tanzania yote kuna yako alaama (kuna yako alama)
wanasema uoga kiza kinene
haukua nao
tulipojiuliza nani aseme, uliongea nao baba
sasa nani, (sasa nani)
sasa nani ataziba pengo
kufukia malengo (aah-ah)
tanzania, tanzania
mama samia mungu akupe nguvu
tanzania, tanzania
tanzania tupendanee
tanzania, tanzania (oh, oh-oh my tanzania)
tanzania, tanzania (baba la baba)
tanzania, tanzania (eeh my tanzania)
tanzania, tanzania
tushikamanee
tanzania, tanzania (ah, aah-ah)
tanzania, tanzania
nchi yangu tanzania