Tell Me ft. Joh Makini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Tell Me ft. Joh Makini - Jux
...
nisipo kula na ww uu mkwanja,
sasa Nitakula na Nani Sinaga uo ujanja kwako
mijengo zote na kibanda awali side chicks wote walisha sanda Kwako,
kula ndizi bila maganda muhanga mnishajitoa kitambo si kazi kwako,
Kwa mungu Nasi kwa mganga njoo tupige goti baraka zishatanda Hapo,
hook
Sipo kupenda ww ntampenda.. mhhh
Leo kazi Sina Nina kazi nyumbani.. mhh
napika ule wangu WA ndani. mmmh
na ndoto yangu u yatoe ya ndani,
chorus
twende jambiani, Au twende Serengeti mbugani Ohh bby kushoto milimani, usjali Kwan pesa kitu gani*2
tell me*4bby
na acha mambo yote najisikia mfalme mjini
utanipa Vitungine hataSijui nikupe nn
tuna Mali tuna mungu na pia tuna nia
tunaishi ndoto zetu wakitushuhudia
weekend Ndounanifaa ,Moyoni umenika Kama nn, pale najikwaa mammy uniachi niende chini
repeatchorus