Uhuru Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Uhuru - Joel Lwaga
...
Ooohh
Uhuru wangu
Nimepewa na yesu,
Nimepewa na yesu,
Uhuru wangu
Nimepewa na yesu,
Nimepewa na yesu.
Ooohh
Maana yeye ni kweli
Hiyo kweli imeniweka huru,
mhhh
Maana yeye ni kweli
Na hiyo kweli imeniweka huru.
Uhuru wangu
Uhuru wangu
Nimepewa na yesu,
Nimepewa na yesu,
Uhuru wangu
Nimepewa na yesu,
Nimepewa na yesu.
Maana yeye ni kweli,
Hiyo kweli
Imeniweka huru,
Maana yeye ni kweli
Hiyo kweli
Imeniweka huru.
Uhuru mbali na dhambi ( haaaaaa ),
Uhuru mbali na vifungo,
Uhuru mbali na umaskini ( haaaaa ) yeee.
Uhuru mbali na magonjwa,
Uhuru mbali na utumwa,
Uhuru mbali na uonevu wa aduiiii,
eeeeeh
Maana mwana akikuweka huru wewe,
Umekua huru kwelikweli,
eeeeh
Maana mwana akikuweka huru wewe,
Umekuwa huru kwelikwelii,
( Uhuru wangu )
Uhuru wangu
( Nimepewa na yesu )
Nimepewa na yesu,
( eeeeh )
Nimepewa na yesu,
( mhh Uhuru wangu )
Uhuru wangu
( nimepewa na yesu )
nimepewa na yesu,
( nimepewa na yeu )
nimepewa na yesu.
( eeh maana yeye ni kweli )
Maana yeye ni kweli,
( na hiyo kweli )
Hiyo kweli
( imeniweka huru )
Imeniweka huru,
( Yesu wewe ni kweli )
Maana yeye ni kweli
( na hiyo kweli )
Hiyo kweli
( imeniweka huru )
Imeniweka huru
( Oooooh )
( heiheiiii )
Eiiii!!
Mimi sio mtumwa tena,
( Ooooh, oooh ooh )
Mimi sio mateka tena
( Ooooh, oooh ooh )
Mimi ni mwana wa pendo lake tena
( Ooooh, oooh ooh )
Kweli Mimi
Ni mwana wake
Nimezaliwa kwa mbegu
( Ooooh )
Ya neno lakeee
( Ooooh ooh )
Eeeeiiiii
Maana yeye ni kweli
Hiyo kweli
Imeniweka huru
( Kweli maana yeye ni kweliii )
Maana yeye ni kweli
Hiyo kweli
Imeniweka huru
Mhhhh,
Oooohhhh
Hiyo kweli si kinyume cha uongooo
Hiyo kweli ni halisiiii
Vitu vyote vimefanywa kwa hiyo kwelii
Hiyo kweli ndiye Kristo
( Uhuru wangu )
Uhuru wangu
( nimepewa na yesu )
Nimepewa na yesu,
( nimepewa na yesu)
Nimepewa na yesu,
( Uhuru wangu )
Uhuru wangu
( amenipa yesu )
Nimepewa na yesu,
( Mimi ni huru tena )
Nimepewa na yesu
(eeeh)
( Uhuru wangu )
Uhuru wangu
( Mim si mateka tena )
Nimepewa na yesu
( nimepewaa na yesu )
Nimepewa na yesu
( kweli Uhuru wangu )
Uhuru wangu
( nimepewa na yesu )
Nimepewa na yesu
( nimepewa na yesu l
Nimepewa na yesu
( kweli maana yeye ni kweli)
Maana yeye kweli,
( na hiyo kweli )
Hiyo kweli,
( imeniweka huru )
Imeniweka huru,
( ooh maana yeye ni kweli )
Maana yeye ni kweli
( na hiyo kweli )
Hiyo kweli
( eeeeh)
Imeniweka huru,
( kweli maana yeye ni kweli )
Maana yeye ni kweli,
( ni kweli )
Hiyo kweli
( hiyo kweli imeniweka)
Imeniweka huru
( huruuuuu )
Maana yeye ni kweli,
( na hiyo kweli )
Hiyo kweli
( imeniweeka huru )
Imeniweka huru.
( huruuuuu, aaaahaaaahhhh )