Nitumie Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Nitumie - Joel Lwaga
...
Sema maisha yangu
maisha yangu
moyo wangu
moyo wangu
nakutolea wewe
nakutolea wewe tu
uhai nilionao
uhai huu
ni wako Bwana
nimeupata kwa neema yako
ni kwa neema yako tutu
kwa mara nyingine ten a
maisha yangu
maisha yangu
moyo wangu
moyo wangu
mmh Bwana
nakutolea wewe tu
uhai nilionao
uhai huu
ni wako
ni wako tu
nimepata kwa neema yako Bwana
ni kwa neema yako tuuu
na sasa nakuomba nifanye upendavyo
unifanye kama upendavyo wewe Bwana
nifanye vile upendavyo bwana
unifanye kama upendavyo wewe Bwana
hii ni shauku yangu
nifanye vile upendavyo Bwana
unifanye kama upendavyo wewe Bwana
mi ni dhabihu hemani mwako Bwana
unitumie ee Bwana
kwa ajili yako wewe tu
mi ni dhabihu hemani mwako Bwana
unitumie ee Bwana kwa ajili yako wewe tu
Bwana Mimi ni wako
chombo mikononi mwako
mi sadaka yako
tayari kwa ajili yako
Bwana Mimi ni wako
chombo mikononi mwako
Bwana mi sadaka yako
tayari kwa ajili yako
Bwana nitumie
nitumie
Bwana ni tayari kutumiwa nawe
ni tayari kutumiwa nawe
Bwana nitumie
Instrumental Playing
ni tayari Bwana
nifanye vile upendavyo
kwa utukufu wako
Bwana nitumie
Ni tayari vijijini nitakwenda
mijini nitakwenda (nitumie)
kwa ajili yako (nitumie ee Bwana)
ni tayari (nitumie Ee Bwana)