Te Amo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Te Amo - Rapcha
...
Rraah.....
Rapcha on the thing
Scardie...
Teamo teamo teamoo
You know my love is known for you baby
Na nnataka kwenda far na wewe baby
Unataka Nini baby you just baby,,ooh my God am in love baby
Ey sister nmekuona toka muda ila sikuweza kukuchek maana sikupata nafas ya kukueleza
Kuwa muhuni nshakuelewa ad naongea kila lugha unaweza nipa chance nkufanye star girl Huda
Kwako taabani,kwani star Gani,unaweza nchek mummy unibless maana we ni kitu inanistress hunie
Itakuw fresh kama ukiniita hubby Kisha tuwe na kids kwa misingi niwe dingi na we wakuite mummy
Rafiki zangu wanaelewa ulivyonshika na hata ukinkataa Wenda watanzika ila vp sa
Inawezekana ukanipenda pia tunashare heruf za majina Wenda utanfikiria dear
Wife material nakiri hii leo
Ntadeal kujenga family sideal video
Tena kwako nshamute Vimeo
Wakikuzushia unangoma twende south tukashoot video
So let me say baby "teamo"
All my love is known for you baby "teamo"
Na nnataka kwenda far na wewe baby "teamo"
Unataka Nini baby look at my eyes with your smile baby "teamo"
aah aah aah "teamo"
Na all my love is known for you baby "teamo"
Na nnataka kwenda far na wewe baby "teamo"
Unataka Nini baby look at my eyes with your smile baby "teamo"
My African queen unawaza sana vp unanifikiria
Sina ubaya usije ukanchukia
Ujanja ujanja nshakacha na nshaweka Nia kutulia maana uovu mwingi hii dunia
Mtoto figure nane nane,wasikubanebane,nkikuona naona nane nane,lini tuonane, Zaid tujuane na tuungane ngane,mahaba nichane change,ad tufanane nane,nkuite baby uniite hunie hunie
Bhas usinfanyie nyodo nyodo
Sitokuacha ntakulinda macho kodokodo
Sura mbaya Sina shobo shobo
Zip nshashona na nshakoma kugandana na wasichana wa kwenye bobo bobo
Ishauma mwisho karakana na ushacheza dana Dana nkikuona damu inasimama
Nipo deep sana naomba unielew
Nasubiri useme ndio nifuatane na wewe
Wife material nakiri hii leo
Ntadeal kujenga family sideal vileo
Tena kwako nshamute Vimeo
Wakikuzushia unangoma twende south tukashoot video
So let me say baby "teamo"
All my love is known for you baby "teamo"
Na nnataka kwenda far na wewe baby "teamo"
Unataka Nini baby look at my eyes with your smile baby "teamo"
aahh aahh aahh "teamo"
Na alll my love is known for you baby "teamo"
Na nnataka kwenda far na wewe baby "teamo"
Unataka Nini baby look at my eyes with your smile baby "teamo"
Rapcha on the thing
Yeah yeah yeah
Scardie kweny beat
Baiser
Onlet music babe
*MR DRIP*