Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2024

Lyrics

18 - Jay Melody

...

JAY MELODY -- 18 (therapy)

Nilipanga nitapenda nikifika miaka 20

hivi sasa 18 sijui nimepatwa nini

kuna mtu nampenda lakini sijiamini

sio kama najua sana kwamba mapenzi ni nini


ananitoa kwenye malengo sikupanga kuingia kwenye maupendo

ananitoa kwenye malengo vitu vyake navutiwa kila engo


"ooh mimi" afadhali moyo wangu haya mapenzi na dhahab

tafadhali kwel moyo wangu haya mapenzi yangu dhahabu

...........................

bado najiuliza kama anahisi nnavyo hisi Ila najua kuwa hvyo sio rahis

nami mgeni wa mapenzi nisije nikaitiwa polisi

nikaumbuka nikachukia mapenzi

mwenzio mwenzio usiniumbue mwenzio

nikaanza na kilio etty ndo kiingilio


anaitoa kwenye malengo sikupanga kuingia kwenye maupendo

ananitoa kwenye malengo vitu vyake navutiwa kila engo


"ooh mimi" afadhali moyo wangu "we moyo" haya mapenzi na dhahab

"tafa wee" tafadhali kwel moyo wangu "ooh moyo" haya mapenzi yangu dhahabu


"ololo mmh dhahabu Ooh mmhh dhahabuu once again"

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status