Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2008

Lyrics

Kiulaini ft.Makamua - Mh Temba

...


Nafungua kurasa, ya binti kumnasa

Afike kwetu kiumeni (kiulaini)

Kumchanganya changanya, kumdanganya danganya

Afike kwetu kiumeni (kiulaini)

Nagundua ni rahisi kama kibogoyo tu kutafuna maini (kiulaini)

Usiogope naitwa Temba, sijawahi kukasirika

Na tena nahisi sina dhambi, ukinikataa umenipa dhambi

Ya nini uniogope wakati usoni sina hata tope?

Waenda wapi twende wote, tukapate hata chochote

Nipo tayari kwa lolote

Punguza hasira mamaa

Ungejua nilivyokupangia mwenyewe ungekuja kiulaini

Mtoto laini hata kuvunja biskuti hawezi

Anaishi Mbezi, mi namzimia kishenzi

Nikamwambia una wasiwasi gani? Mi nasoma chuo marekani

Baba yangu na mama yangu wote wapo serikalini

Baba waziri wa madini, mama mbunge kwetu kijijini

Tulia na mimi Temba mtoto wa mjini

Utajinyima zali wakati unaonekana kwenu njaa kali

Akaniangalia kwa dharau, akatema mate chini

Huyu queen, nikajua leo nishapigwa chini

Nikamwambia naomba tukapate lunch

Akasema, "mi staki"

Nikamwambia naomba namba ya simu

Akasema, "mi staki"

Akawa anaondoka nikamwambia nikupe lift

Basi akakubali mtoto mzuri kimwali

Tukazama ndani ya gari shori mwenyewe kapagawa

Full ma-air fresh, upupwe kideo ndani

Yaani live channel 5, The Comedy walee

Pembeni kuna kifriji nikavuta nikamtolea kyoda

Anywe asikie uroda

Ajamaliza kunywa, kama masihara

Nkambinyia kiti akalala

Tumefika mbele nikamuuliza, hujafika unapoenda?

Akadai anaenda popote mi ninakokwenda

Nikasema ndo maana yake, kwisha jeuri yake

Ah, jamani

Nafungua kurasa, ya binti kumnasa

Afike kwetu kiumeni (kiulaini)

Kumchanganya changanya, kumdanganya danganya

Afike kwetu kiumeni (kiulaini)

Nagundua ni rahisi kama kibogoyo tu kutafuna maini (kiulaini)

Wale kiulaini, wale kiulaini chini chini

Brake air apartment parking kwa Mwakamere

Mtoto namwambia agiza ndo kwanza anacheka cheka

Kaulizia bei wine, kaambiwa laki anasema hataki

Nikamwambia agiza wewe, tena bila kuuliza

Mtoto kaona kama miujiza kaenda Ulaya bila visa

Nia yangu nimchanganye, ndio nikambane

Tukahama pale walee, tukaenda bar moja Kongowe

Bar ina vituko, ndani wahudumu nyani!

Bia buku 5, soda elfu mbili mia tano

Kwenye mabano kiingilio buku kumi na tano

Tumeingia tu anadai anasikia usingizi

Nikamwambia ngoja ngoja, hapa moja moja

Nikamwambia utalala wapi, akadai popote

Nikamwambia, "kwenye gari?" (an ah)

"Hapa hapa?" (an ah)

"Wapi sasa?" (Chumbani honey)

Huku sauti anaitolea puani, eti twende chumbani honey!

Nikashangaa mara hii nishakuwa honey, ama ananiletea utani?

Yaani kiulaini laini hivi leo najibebea mzigo!

Basi kukawa hakuna budi, sikataka mwenyewe

Nikimuacha ataona namuogopa, tena ataniona rofa

Basi nikawa sina jinsi kwa huyu miss

Kwa kuwa si kataka mwenyewe

Ah, bora nikamshugulikie ili vizuri kwa wenzie akawahadithie

Awaambie mi ndie tabibu nilietibu taratibu

Basi nikamshughulikia, wala hakulia

Alifurahia akaniuliza lini tutarudia

Nikamwambia, "kesho baby, kesho!

Tuipige again mechi"

Nafungua kurasa, ya binti kumnasa

Afike kwetu kiumeni (kiulaini)

Kumchanganya changanya, kumdanganya danganya

Afike kwetu kiumeni (kiulaini)

Nagundua ni rahisi kama kibogoyo tu kutafuna maini (kiulaini)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status