Loading...

Download
 • Genre:Afrobeats
 • Year of Release:2017

Lyrics

Bado Umenuna - Marlaw

...

Najiuliza vipi kuhusu kosa Vile mpenzi bado umenuuuna Usiku na mchana we una hasira Najiuliza kama utanitosa, sipati picha Mmh! Bado umenuna, na hucheki tena Najuta naogopa, roho inaniuuuma Kosa ni kosa ukishakosa tena


Naomba samahani, mtoto mzuri sana Kwani sio langu kusudio, we uumie Vile umenuna unaniweka roho juu baby Hofu nilonayo mi mwenzio, nihurumie We nisamehe kwani nipo nawe tu baby Baby eh, baby eh Tu baby eh, baby eh, baby ee


Usinune Nakubali nimekosa na sitokosa tena naapa hak'ya Mungu eeh Upweke umenikaba na namiss mapenzi nayakumbata machungu ooh Njoo, njoo ntapiga magoti Sitolikwepesha shavu nipige hata makofi no! Sina tena ukorofi ni.nitatii amri mi karaka we ndo bosi Bado umenuna (bado umenuna) Na hucheki tena (ooh oh oh) Najuta naogopa (najuta naogopa) Roho inaniuuuma (braa bra bra bra bra) Kosa ni kosa (jyeah ah) Ukishakosa tena (si si si si si) Naomba samahani (ah ah ah ah ah) Mtoto mzuri sana (ooh) Kwani sio langu kusudio, we uumie Vile umenuna unaniweka roho juu baby Hofu nilonayo mi mwenzio, nihurumie We nisamehe kwani nipo nawe tu baby eh Baby eh, baby eh Tu baby eh, baby eh, baby ee Elewa baby nachosema ah ah ah ah Mmh napiga magoti, naomba msamaha Kwamba baby, mi sitorudia tena ah mmh Ehee (oohoo) Si umenisamehe mama? (ooh) Mmh si umenisamehe mamaaa mmh Si umenisamehe mama eeh ee Mmh si umenisameheeee eeeh Kwani sio langu kusudio, we uumie Vile umenuna unaniweka roho juu baby Hofu nilonayo mi mwenzio, nihurumie We nisamehe kwani nipo nawe tu baby eh Baby eh, baby eh Tu baby eh, baby eh, baby ee Oh uuh Ooh mama Lala lala mamaa ah Oh eehaa (Marlaw) Chi Chi Chidi Chichi Chidi Benz! La Familia aah Mapigo! Sema mama (sema mama) Marlaw Mama ntapiga magoti, sina ukorofi Jyeah oh One love, dedication to all the girls I see you, Marlaw! Allan Mapigo, Chidi Benz, Marlaw! Mwah mwah mwah

Similar Songs

Listen to Marlaw Bado Umenuna MP3 song. Bado Umenuna song from album MARLAW Singles is released in 2017. The duration of song is 00:04:42. The song is sung by Marlaw.

Related Tags: Bado Umenuna, Bado Umenuna song, Bado Umenuna MP3 song, Bado Umenuna MP3, download Bado Umenuna song, Bado Umenuna song, MARLAW Singles Bado Umenuna song, Bado Umenuna song by Marlaw, Bado Umenuna song download, download Bado Umenuna MP3 song

Comments (9)

0/500

  New Comments9

  kiibinda

  nice

  Tanzania

  Prince Chrisl16ji

  Chichichichichichi usinune nakubali [0x1f602][0x1f602][0x1f602] Chid Benz

  Tanzania

  #teamsupuyamawenation2007

  [0x1f612][0x1f613][0x1f612][0x1f603][0x1f603][0x1f619][0x1f619][0x1f641]

  Tanzania

  Deleted User

  This comment has been deleted.

  Tanzania

  Deleted User

  This comment has been deleted.

  Tanzania

  Deleted User

  This comment has been deleted.

  Tanzania

  Mr hooligan

  Ha ha ha ha ha ha haa ha ha ha a ha daah hili goma jamani

  Tanzania

  Godwill Teddy Alwala

  The voice

  Kenya

  Gwamaka Msyan Gwamaka Msyani

  saf sana iko vizuri

  Tanzania

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status