Nipe Mimi ft. Ray C Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2008
Lyrics
Nipe Mimi ft. Ray C - Mh Temba
...
Hujatulia honey nakwambia
(Kwanini nitulie wakati nakupenda?)
Mheshimiwa mi nimeshakueleza (c'mon maa, yeah c'mon)
Maneno matamu umekwisha niambia
Lakini hata moja bado hujatimiza
Hujatulia honey nakwambia
(Kwanini nitulie wakati nakupenda?)
Ah c'mon maa, c'mon maa (aah)
C'mon maa (mmh)
Unaguna nini?
Nipe mimi kwani mi ndo mimi
Tumetoka mbali kama nyuki na asali
Nipe mimi, nipe mimi mpenzi (kwani mi ndo mimi)
Nasikia utamu, nasikia utamu mpaka kwa moyo
Niko fit alright, stimu zangu zishadanabia
Kweli dear nakwambia
Nipe mimi, nipe mimi kwani mi ndo mimi (aa wewe)
Sasa, tena zima taa mamaa
Mdadi ushanipanda mi kichaa (ngoja)
Ngoja ngoja yaumiza tumbo
Nipe niweke, ongeza makeke
Nikishamaliza nicheke, uuh!
Aah! Unaisikia inavyokuingia
Unafurahia, unachukia? Unafurahia, unachukia? (akaa!)
Unafurahia, unachukia? Okay, okay
Okay, okay, hakuna wasiwasi, cheza nami
Dance with me, nipe mi kwani ndo mi
Yeah, yeah, mi ndo mi
Hujatulia honey nakwambia
(Kwanini nitulie wakati nakupenda?)
Mheshimiwa mi nimeshakueleza (c'mon maa, yeah c'mon)
Maneno matamu umekwisha niambia
Lakini hata moja bado hujatimiza
Hujatulia honey nakwambia
(Kwanini nitulie wakati nakupenda?)
Usinipe maji dear kiu nikisikia
Usinipe chakula njaa nikisikia
Nipe mapenzi ya kweli nikuwaze kila saa
Nasubutu kusema hivi we ndo wangu mamaa
Nipe nafasi nikuweke moyoni, nikutunze kama mboni
Nipe mimi, nipe mimi wajuba tuwakate vilimi (vilimi)
Muda unaruhusu, hali ya hewa inaruhusu
Njoo nikupige busu, japo kiduchu
Umeumbwa kwa ajili yangu, walishaniambiaga wenzangu
Kitabia tunaendana (tunaendana)
Miondoko tunaendana (tunaendana)
Sioni sababu ya mi na wewe kutokupendana
Unadai niache mziki, sa si ntakufa na dhiki
Usiwasikilize wanafiki
Tukiaminiana tutaoana, we ndo mama mwenyewe
Nakupenda we mwenyewe
Punguza papara pupa
Chochote nitakupa
Huyu manzi ali-come nikamghasi akakubali
Nikam-show leo lazima utingike
Mpaka nikubambike, kiuno nikushike
Tukawajibike
Lete utamu, lete utamu mamaa mamaa
Lete utamu kwa kachaa
Utawakwachu, wacha moto uwake
Wacha moto uwake, midnight midnight mida mibaya
TMK, TMK, wacha moto uwake
Dunga, Dunga, wacha moto uwake
TMK, TMK...
Hujatulia honey nakwambia
(Kwanini nitulie wakati nakupenda?)
Mheshimiwa mi nimeshakueleza (c'mon maa, yeah c'mon)
Maneno matamu umekwisha niambia
Lakini hata moja bado hujatimiza
Hujatulia honey nakwambia
(Kwanini nitulie wakati nakupenda?)