Apeche Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Apeche - Rapcha
...
Mifukoni apeche
Moyoni raha
Na maisha yanajipa bwana
Last king of 90’s baby
Gachi Waoneshe
Mambo yanakwama tunaforce ahaa
Njaa noma inaeza kukucost ahaa
Mwili unapungua vipi msosi!? ahaa
Ilibaki kidogo nikate dreadlocs ahaa
Mhhuh life is beautiful ahaa
Ukipewa nguvu hukosi majukumu ahaa
Hela yangu ya kwanza iling’arisha home ahaa
Hela yangu ya pili naongeza home hahah
Komaa
Weka hustle utahamia kwenye mansion
Piga kazi fresh be patient
Komaa
Kuna crown ukizivuka temptations
kesho utaenjoy kwenye penshen
Komaa
Wakizima data ofcoz waoneshe
Jah ndo ameshika connection
Komaa
Hata kama mifukoni ni cheche apeche
Ila kwenye moyo celebration
Mifukoni apeche
Moyoni raha
Na maisha yanajipa bwana
Mifukoni apeche
Moyoni raha
Na maisha yanajipa bwana
Na sijui vingi kwasababu najua vingi
Na najua vipi vya ku keep
Nikicheki deep naona jinsi vitu vinapanda bei roho zinazidi kuwa cheap
No no sleep sleep mi naforce money
Mi I don’t worship worship money
Fresh kwenye roho ninaset tu plan
Kutowezekana ndio haiwezekani
Komaa
Weka hustle utahamia kwenye mansion
Piga kazi fresh be patient
Komaa
Kuna crown ukizivuka temptations
kesho utaenjoy kwenye penshen
Komaa
Wakizima data ofcoz waoneshe
Jah ndo ameshika connection
Komaa
Hata kama mifukoni ni cheche apeche
Ila kwenye moyo celebration
Mifukoni apeche
Moyoni raha
Na maisha yanajipa bwana
Mifukoni apeche
Moyoni raha
Na maisha yanajipa bwana
Mi i don’t stop
I know everything don’ come easy