Mganga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Mganga - Yamoto Band
...
yamoto yamoto mkubwa na wanawe,
kwa mama nikubunge kirungure kwa mpalange
leo nataka kwa mganga niende,
mganga nimelogwa,tatizo lipo chinii
nimeoteshwa boga linaburuza mpaka chini,
ila alieniloga sijamjua nani naomba nitajie nikamuombe samahani ayeee huruma eeeeh,
nimewasihi sana wake za watu mjinii,
ningejipa umwamba nikajiona ndo mimi,fundi wa mahaba mndengeleko wa kusini, wamenipa busha nilibebe mapajani leoo oooh leooo oooh.
mganga funua msuli uone,
nilivotuna kama shuka mashine wanasemaga mwanaume mashine,
chini kwangu majanga eeh mwana ukomee,
chorus
hoooodi nimekuja kwako mganga
hoodi nimekuja kwako mganga×2
verse 02
nguo zangu mapajani hazipiti aaai,mama,
tabu nazopitia mganga mpira umenielemea aah,
mateso nayopitia mganga sio siri naumiiaaa,ayiiii
why,whyyy iii mganga
verse03 bunzari
yaliyonikuta mimi mwanaukome
yaliyonikuta mimi mama ayii
mwanaukome me kwanza sikuamini bunzarii
mama analalamika ugomvi nyumbanii
chonde majirani me na ugomvi na nani?,
tumemleta mtoto nguoni kote mitaani
aibu tupu jamani dj lonidaa aah chuchu eeeh
chorus
hoodii mganga ,
nimekuja kwako mganga
hoodi mganga,
nimekuja kwako mganga,
nauliza ndugu zangu hawana huruma kwanin
nauliza walimwengu hawana huruma kwanini,
kule chini nilikotoka me napendaga,
ntakwenda vipi,
huku chini kuna busha
kupenda wake za watu mwenzenu kumeniponza
mganga fanya manuva uuweze kuliondoshaa
bridge
me niache nichezw singeli japo kua ninalo,
(niache nicheze singeli japo kua ninalo)
shika msuli mwanangu style ya kipwani,
japo kua ninalo we inakuhusu nini,
mkubwa fella,mudy k mchizi wa k
niache nicheze singeli japo kua ninalo
added by G