Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2014

Lyrics

Bora Kijijini - Yamoto Band

...

mkubwa na wanawe


mkubwa na wanawe tucheze...

mkubwa na wanawe tenaa,,,(×2)

mkubwa na wanawe sikilizeni

yamoto band tenaa....(×2)


siendi popote ila siombi kule...

jua la utosi ila pesa mbele kule njaa nja nja akuna cha bure,,, dunia imebadilika raha ya Pete..

sharudi nyumbani maji yalinifika shingoni

kule utumwani sipawezii...

yanini nitake gari wakati kibiti kwa basikeli

na mpunga uko tayari utanienzii

dar kuna vituko usiende Juma.. unaweza ukawa mbele na ukarudi nyumaa kuna watoto warembo warembo... na mabishoo wa huongo kwenye kuchange mitindo na nguo zao ng'ong'ong'o

ukienda kichwa kichwa utachekwa na mababu (Juma wee)

hawa watu bwanaa hawanaga ustaharabu (juma wee)

ukiinama kidogo mambo ya ajabu..(Juma wee)

Kaamuulize kamonde kwenye show ya taarabu (Juma wee)

ridhika na vichache usiwe na tamaa

ata kidogo upate bila noma

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status