Yamoto Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Yamoto - Yamoto Band
...
Ya Moto
Ya Moto Band (uyee uyee)
Ya Moto
Ya Moto Band (Mkubwa na Wanawe)
Ya Moto (ooh)
Ya Moto Band (uyee uyee)
Ya moto
Ya moto Band
Ya moto Band
Kazini niende
Nirudi na sembe robo
Nachotaka unipende
Nipunguze wenge zogo
Waepuke wapambe
Wasilete mbwembwe uwongo
Kwa maneno ya wembe
Wakachana ngembe fujo ohh
Moyo wa chuma sina
Usije nipa tabu
Ongeza penzi kwa kina
Jumuisha na wivu
Moyo wa chuma sina
Usije nipa tabu
Ongeza penzi kwa kina
Jumuisha na wivu
Achana na hao wanaopiga majungu (aah aah)
Skendo mpya mi nnatoka na muzungu
Nipende mimi wengine kwako wachune (aah aah)
Tumetoka mbali Ugali na Karusumo
Nasema nibemende
Nipelembe
Nachotaka yetu si yasonge
Tuwaache wapige kelele (ah)
Ya kwetu sie yaende
nibemende nipelembe
Nachotaka yetu si yasonge
Tuwaache wapige kelele (ah)
Ya kwetu sie yaende
Nitajuta
Ukiondoka
Nitajuta
Ongeza silaha mama na baba wakupende
Utajuta (uyee yeee)
Ukiondoka (mamaa)
Nitajuta
Nao mimi na wewe wengine wa kweli
Usinibanebane (ooh aah)
Usinibanebane (eeeh)
Usinibanebane
Nakupa chance mama uniperembe
Usinibanebane (aeeh eeh)
Usinibanebane (ooh aah)
Usinibanebane
chochote fanya mama mi nishapenda
Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda
Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupenda
Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda
Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupenda
Kaa mbali na mi (nimeshapenda)
Kaa mbali na mi (nimeshapenda)
kaa mbali na mi
Kama kibaka kuomba lifti kwenye difenda
Kaa mbali na mi (nimeshakufa)
Mbali na mi (nimeshaoza)
kaa mbali na mi
Kama kibaka kuomba lifti kwenye difenda
Bebi bebi
Nakupenda sana
Nishike nikushike milele tusije kuachana
Bebi bebi
Nakupenda sana
Nishike nikushike milele tusije kuachana
Baki na mimi mimi
Wengine wa nini nini
Naogopa maradhi ndo mana niko makini mimi
Baki na mimi mimi
Wengine wa nini nini
Naogopa maradhi ndo mana niko makini mimi
Iyeh!
Iyeh!
Nitajuta
Ukiondoka
Nitajuta
Ongeza silaha mama na baba wakupende
Utajuta
Ukiondoka (uyee yee)
Nitajuta (mama)
Nao mimi na wewe wengine wa kweli
Usinibanebane (ooh aah)
Usinibanebane (eeh eeh)
Usinibanebane
Nakupa chance mama uniperembe
Usinibanebane (aeeh eeh)
Usinibanebane (ooh aah)
Usinibanebane
Yote fanya mama mi nitapenda
How come vimezaliwa vingi vya utamu (ti katika)
How come vimezaliwa vingi vya utamu (ti katika)
How come vimezaliwa vingi vya utamu (ti katika)
How come vimezaliwa vingi vya utamu (ti katika)
How come vimezaliwa vingi vya utamu (ti katika)
Na Mkubwa Fela
How come vimezaliwa vingi vya utamu (ti katika)
Na Babu Tale
How come vimezaliwa vingi vya utamu (ti katika)
Meneja Chambuso