Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Cheza Kwa Madoido - Yamoto Band

...

Fataliti music

Menseni na yamoto

Menseni na yamoto

Menseni na yamoto

Menseni na yamoto

Menseni na yamoto

Menseni na yamoto

Menseni na yamoto

Menseni na yamoto


Nilisema unipigie unipigie

kabla hujatoka

Unipitie unipitie

mwenzako nimechacha

iweje unizime unizime

na simu ukasepa

unikimbie eeeee Eeeh

nimekuja na miguuu

kufata burudani uuu

Na nimepata tabuuu

hadi kuingia ndani aibuuu haya aaah

kinyamukela dibwe

kinyamukela dibwe dibwe

kinyamukela dibwe aai ai

kinyamukela dibwe

kinyamukela dibwe dibwe

kinyamkela dibwe

Ingia kati uone shetani nimeingia ee

we mama zungushae

kakupa god kiuno

kakupa god kiuno

kakupa god kiuno

We dada zungusha

kakupa god kiuno

kakupa god kiuno

kakupa god kiuno

Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo

Ale cheza kwa madoido

kwa madoido kwa manjonjo

Sema cheza kwa madoido kwa manjonjo

Ale cheza kwa madoido

kwa madoido kwa manjonjo


Aah wajawazito niruksa ndani

kwa kujifungua eeeh

Madakitari ni wengi sana

wanasakata buzuki

alie kuja na guta nje aje kulitoa eeh

maana kapaki vibaya watu

wanataka nafasi

Masai na mama uyooo yoyoo

Marungu na Sime uyooo yoyoo

Aah msije gombana ukoo kokoo

mkatoa watu shingoo ooooh

We chiba we chiba

hebu acha magongo ngongongo

ukija kuzamanayo mi nitakupa kipondo

aah nawe panya uwachage kuruka ukuta nsadata nikibadilika

nakuwa na hasira za Paka

Zamani babu kanifunza

kucheza ishara kufurahi

huna sababu ya kununa wakati

ngoma ing'ai ng'ai

uwe mwarabu si mchina

pandisha moli kama masai

zungusha body waonyeshe

jinsi unavyo weza kujidai

wefurahi jidai nacheza

kwa mbwembwe usione hatari

kufurahi hata kama ni kikongwe

uko mbali karibia yamoto tukugonge

wote shida zetu ziko nyumbani hapa

turuke hili songie

Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo

Ale cheza kwa madoido

kwa madoido kwa manjonjo

Sema cheza kwa madoido kwa manjonjo

Ale cheza kwa madoido

kwa madoido kwa manjonjo

Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo

Ale cheza kwa madoido

kwa madoido kwa manjonjo

Sema cheza kwa madoido kwa manjonjo

Ale cheza kwa madoido

kwa madoido kwa manjonjo

ee

ee

ee

ee

ee

Menseni na yamoto

Menseni na yamoto

ale wowowooo

Cheza kwa madoido

kwa madoido kwa manjonjo

ale

Cheza kwa madoido

(ale Cheza kwa madoido)

kwa manjonjo

(wowowooo)

Cheza kwa madoido (wowowooo)

kwa madoido kwa manjonjo

sema cheza kwa madoido (aiyoyooo)

kwa manjonjo (aiyoyee)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status