Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Nitakupwelepweta - Yamoto Band

...

Aaah Yamoto band...Aaa Yamoto×2

Unajifanya Bingwa wa Kupenda_Dadae

hupendi bingwako tena Kuliko Kupenda_Dadae

tena una sifa ya kuogopwa kama defender_Dadae

umeua Wengi ila kwangu Umedunda


Kwako Mae sitaki Nizikwe na Kilo mbili kwenye Mfuko...Mamae

sitaki Familia Ilie kwasababu Yako_Dadae


Ananitegemea Mamae..Aaae

nikifa atalia Sanae Aaah


Katika Familia Na mm Ni Baba

yako Babayo,Yako Babayo.

Nikija kufa Ufa Nani ataziba Hebu kwenda Zako



Ananitegemea Mamae..Aaae

nikifa atalia Sanae Aaahahe


(Huku Kwa Kizungu Chinja Jana Tamu)×2


(Hebu Niache....Eh...Hebu niache

Unapita na Dumu La Petroli Hebu Niache)×2


(Kuna Rambo,Mm Namuua....Ni Ujinga ujinga tu Ehh Nija Niua)×2


Una Kicha Mi Nakuitaga we Mwendawazimu..

Nimepata Habari Mwili wako Umeujaza Sumu....

Unangangana Unataka Mm Kunipa Utamu

Umekosa Sengeri Ngoma Ya Kucheza Una Nenda Kaicheze...


sengere Sengere Mama


sengere Oh sengere Sengere Mammma...aah..We Mwali Na Nende Kaicheze.

Sengere sengere mama...Mamamammamamammaahhhhh


Ati Ametuma

shoga Zako waja Kuniambia

Roho Inanuuma Kidudu Mpenzi Kinamsumbua

Siri Imevuma,Jameni Una Wengi wananipakua Hana Huruma Kanitoa wapi,Aje Kuniua?


Ilikuwa Si Hasara,Nikatoa nikagawanya

nitajua Unadanganya,We Mbaya Weee

Usiongee kumhusu Dona,Wengi Wao Unawachanganya.

mama Jeni ww Kijana huna Haya Weee.


Mimi Si Saizi Yako(Nitakupelekweta Bure)

Tafuta Typu Yako(Na Idara Miwa kiu Bure)

Mimi Si Saizi Yako(Nitakupelekweta Bure)

Tafuta Typu Yako(Na Idara Miwa kiu Bure


Unataka Kunibebeluza Ww Kibunga Uniwezi Ngo'

Kina Chako Cha Maji marefu Kuongelea sikiwezi Ngo'

Unashinda kuwinda vienye Kung'aa vya Masinzi Uvitaki Ngo'

Unangangana Kama Luka kwenye Mwili wangu We Nenda zako Iye


Na Ushindwe Ushindwe...Uniwache Mi Mwana Wa Mwenzio...Kwetu Ndio Jembe Jembe Ukivunja Mpini Ni Kilio


Na Ushindwe Ushindwe...Uniwache Mi Mwana Wa Mwenzio...Kwetu Ndio Jembe Jembe Ukivunja Mpini Ni Kilio


Una Kicha Mi Nakuitaga we Mwendawazimu..

Nimepata Habari Mwili wako Umeujaza Sumu....

Unangangana Unataka Mm Kunipa Utamu

Umekosa Sengeri Ngoma Ya Kucheza Una Nenda Kaicheze...


sengere Sengere Mama


sengere Oh sengere Sengere Mammma...aah..We Mwali Na Nende Kaicheze.

Sengere sengere Mama...Sengere Sengere Ooh..Sengere Sengere mama..



Mimi Si Saizi Yako(Nitakupelekweta Bure)

Tafuta Typu Yako(Na Idara Miwa kiu Bure)

Mimi Si Saizi Yako(Nitakupelekweta Bure)

Tafuta Typu Yako(Na Idara Miwa kiu Bure)


Ana Chuma Cha Moto huyo

anauguza Huyo.

apewe Mkongoto huyo

ili ifike Mwisho Hiyo Tabia Yake.



Tabia Yake........Tabia Yake

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status