Tubadilike Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tubadilike - Best Naso
...
SMG
Shivoo
Mr feeling,,
Hatuna Mapenzi yani kila siku tunagombana
Baby me na wewe hivi Kwanini hatujasoma
Mbele za watu kila siku
kama watoto Tunakunjana ,
Nakuomba baadilika aaa
Badilika mamaaa
Maisha yana kwenda na umri unakwenda
Tubadilike mamaaa
Nakuomba badilika aaa
Badilika mamaaa
Maisha yana kwenda na umri unakwenda
Tubadilike mamaaa
Maisha ya mapenzi kugombana gombana
Nikurudi nyuma, Naomba utambue
Kwenye mapenz me najua kuna vitu vingi
Na kuvishinda inataka ujasiri
Oooo malaika wangu
Punguza wivu japo kidogo
Ooooh kipenzi aaeeh
Usihofu me ni wako
Akipita mwanamke akinisalimia we unavimba
Hata marafiki zangu wakinialika dinner
Hutaki Yani hutaki nitoke
Juzi pale kwa mangi ukaleta ugomvi ee
Ugomvi usio na maana
Nakupenda aeeeh
Aiyoo
Sitokutenda aeeeh
Aiyoo
Maisha yangu ni wee
Aiyoo
Wengine wa kazi gani
Aiyoo
Baby Sina shida
Nakuomba baadilika aaa
Badilika mamaaa
Maisha yana kwenda na umri unakwenda
Tubadilike mamaaa
Nakuomba baadilika aaa
Badilika mamaaa
Maisha yana kwenda na umri unakwenda
Tubadilike mamaaa
Kama Hamisi wa mbokela wa majengo
Majengo kibaonii,,