Usitoe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Usitoe - Best Naso
...
nasooo nasooo ......
nilikutanaa nae msichana alinifunza mapenzi
nilikutana nae kimwana akanifunza kuenzi
haaaa siku zinakwenda nami nikazama haswaa nikatunga mpaka tenzi
siku zimekwenda mara akapata mimba akaanza kucharuka mamaa
haaaa akataka tutoe nami mtoto sinaaaa
mimi nataka tulee yeye anasema hapanaaa
mpenzi anapenda disco disco mpenzi anapenda bataa
mpenzi anataka mimba tutoe sababu ya kuruka majoka
ikawa kila siku nabembeleza usitoe mimba yangu mama usitoe
usitoe mimba yangu nakuomba , usitoe mimba yangu mama usitoe
usitoe mimba yangu
nivumilie kidogo usitoe mimba yangu mama usitoe
najua unapenda bata starehe hivyo vyote utavikuta vipoo
usitoe usitoe mimba yangu usitoe
oooh maaam usitoee ooooh mamaa usitoe
kubembelez kote na kumjali mwenzangu kumbe ni bure tuu
kumbe mwenzangu laake bado lipo lipo kichwaniii
kumbe mwenzangu kashanunua dawa lengo mimba itokeee
mi ni mtu wa mishemishe kavizia nimetoka dawa kameza
narudi sina hili lile niko zangu nimechoka sebleni namkuta kaanguka kashakufa uhai umetoka kaondokaaa
kiufupi hakuipenda mimba akataka tutoe eeeh eeeh
mimi mtoto sina mi nataka tulee ye anasema hapanaaa uuuu
mpenzi anapenda disco disco
mpenzi anapenda bataa
mpenzi anataka mimba tutoe sababu ya kuruka majoka
ikawa kila siku nabembeleza usitoe mimba yangu mama usitoe
usitoe mimba yangu nakuomba usitoe mimba yangu maamaa usitoe usitoe mimba yangu
nivumilie kidogo usitoe mimba yangu mama usitoe usitoe mimba yangu najua unapenda baata starehe hivyo vyoote utavikuta vipo usitoe usitoe mimba yangu
usitoeee usitoe mimba yangu
aaah weeeee eeh eeee ayooo aaaah
usitoe mimba yangu