Kaza Moyo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Kaza Moyo - Best Naso
...
mungu kakupa shepu sura malaika hunakiburi tabia nzuri
natakatue marafiki na Tena tupendane unikumbuke Zama la Zama
nikweli natamani nikuweke ndan
ila minaumwa nitakuacha mjane
nikweli natamani niishi na were ila Kesho nikifa nitakuacha na Nani
your my beautiful (mayaya)
na maradhi ya moyo niwakufa leo nakufa Kesho
listen (mayaya) na maradhi ya moyo niwakufa leo nakufa Kesho
najua unanipenda nakuumiza moyo wako
usilie mama, you my beautiful
kaza moyo ushinde eeeeeeeeeh
usilie mama uuuuuuuuuh
kaza moyo ushinde
usiwe na Shaka
mi nataka tutengeneze story
wakija wajukuu waseme zamani yakale palitokea watu walipendana
niwe ka taitaniki Rose na jaki
kaza moyo tukamilishe story
si unalua ninae rafiki,rafiki kipenzi wa raha nadhiki
huyo rafiki naomba akuoe na ndoa yenu niishuhudie
mwenzako nakaza moyo swezipona unikumbuke milele na mlele najua inauma ila piga moyo konde akuoe naminitapata raha