Walikuwepo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Walikuwepo - Best Naso
...
mapenziiii bahariii bahariii
nimeandika kwenye dayariii
Tena upana wake sijauficha
nimeufafanua kiundaniii
Tena mapenz nifumbo mama
halinaga hodariii
sasaivi stakitena maisha yakuwa single
chakututenganisha labda kifo
wengi wanajiuliza why Mimi niwe na weweee baby sinapesa Sina nyumba Sina gari umenipendea ninii nimetuma barua imefika kwenu nangoja majibu yawazazi wako je ukotayari tayari kwenda kwetu mana mi Niko tayari kujakwenu kwabuku ingawa wambea wanasema mengi ila wasikutiishe Toka enzi za adamu nahawa walikuepo enzi zatangu na tangu walikuepo wakuharibu mipango wambeaaa enzi za tangu na tangu wenyerohozawivu wapiga uzushi na majungu wambeaaaaa aaaaaaaa mmmm aaaaaa