Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2020

Lyrics

Narudi Kijijini - Best Naso

...

mmmm

aiii yeeeeee

best Naso

sijafukuzwa kwetu mtaa

japo ulinikuta nakata mkahawa

vipi unipee manyanyaso nimetulia

eti kisa Nipo kwako umenioa

nilifwata penzi lako sijafwata chapaa

wee Baki n pesa zako mi narudi shamba sikuja dar es salama kushangaa mataa wee Baki na Jiji lako minakwenda mamah

nabeba virago vyangu naambaa wee manyanyaso sumu kwangu Bora n timue narudi nyumbani kwetu kalimawe

walio rafiki zangu utawaambia eeh

nabeba virago vyangu naambaa wee manyanyaso sumu kwangu Bora ni timue narudi nyumbani kwetu kalimawe

walio rafiki zangu utawaambia eeh

kila urudipo nyumbani umelewa unanipa matusi maaamah

Leo nina siku tatu hapa nyumbani hujalala nakuuliza unantusi mamah

kila urudipo nyumbani umelewa unanipa matusi maaamah

Leo nina siku tatu hapa nyumbani hujalala nakuuliza unantusi mamah

bora nirudi zangu kijini nikaendela kukata mkaaa enziii

bora nirudi zangu kijini nikaendela kukata mkaaa enziii

maisha haya mama siwezi Bora nirudi zangu kijiji

maisha haya mama siwezi Bora nirudi yangu enzi

najua pesa ndio waeza fanya ujisikie

Na unauwezo wa kununua umtakaye

Kila kitu kina mwisho mama

Duniani tunapita, za ujia wee

Jinsi alikuja mama mzazi kunisalimia

Nilivyotoka tu nyuma ukamtimua

Nahisi ulipenda boga hukupenda ua

Ila tambua bila yeye husingenijua

Kweli kwamba nliumia aah

Japo kuwa sikuongea aah

Nimeamua kurudi kwetu kwa mama

Nikamnyamazishe kulia

Ama kweli ningejuaaa

huja yakishatokea haya

Ama kweli ningejua eehee

huja yakishatokea haya...

nabeba virago vyangu naambaa wee manyanyaso sumu kwangu Bora ni timue narudi nyumbani kwetu kalimawe

walio rafiki zangu utawaambia eeh

nabeba virago vyangu naambaa wee manyanyaso sumu kwangu Bora ni timue narudi nyumbani kwetu kalimawe

walio rafiki zangu utawaambia eeh

kila urudipo nyumbani umelewa unanipa matusi maaamah

Leo nina siku tatu hapa nyumbani hujalala nakuuliza unantusi mamah

kila urudipo nyumbani umelewa unanipa matusi maaamah

Leo nina siku tatu hapa nyumbani hujalala nakuuliza unantusi mamah

bora nirudi zangu kijini nikaendela kukata mkaaa enziii

bora nirudi zangu kijini nikaendela kukata mkaaa enziii

maisha haya mama siwezi Bora nirudi zangu kijiji

maisha haya mama siwezi Bora nirudi yangu enzi

manyanyaso nimekataa

utumwa penzi sijazoea

Imani yangu, bado sijajaaliwa

labda atayenipenda hajazaliwa

manyanyaso nimekataa

utumwa penzi sijazoea

Imani yangu, bado sijajaaliwa

labda atayenipenda hajazaliwa

nyumbani kwetu ni umaskini sana

Lakini si ulikuta naishi bwana

nyumbani kwetu ni umaskini sawa

Lakini si ulikuta naishi bwana

umefanya akalia wangu kalia mama

siwezi ishi Bora niende kwa mama

umefanya akalia wangu kalia mama

siwezi ishi Bora niende kwa mama

bora nirudi zangu kijini nikaendela kukata mkaaa enziii

bora nirudi zangu kijini nikaendela kukata mkaaa enziii

maisha haya mama siwezi Bora nirudi zangu kijiji

maisha haya mama siwezi Bora nirudi yangu enzi

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status