Umerogwa Na Nani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Umerogwa Na Nani - Best Naso
...
Stivin max legani, jina lako uloitwa
Kumi na tisa imepita, tangu pale uliondoka
Ulivotuaga ulisema, unakwenda kutafuta
Tisini na nane nakumbuka, mam mzazi tulimzika
Na kila tulipokutafuta, hatukuweza kukupata
CHOROUS
Hivi umerogwa na naniiiii,
Umeingiwa na jini ganiiiiii,
Mbona hukumbuki nyumbani,
Baba eeeh baba oooh baba eeeh!!!!!!!
Tulikutafuta kwa radio, huonekani wangu dady
Kuna kipindi magazeti yalichakasha bado wimbo
Kweli dunia ina mambo, lakini bado wimbo
Kweli dunia ina mambo aeh