Nipe Nafasi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nipe Nafasi - Best Naso
...
Taratibu mamy ngoja nikuambiee
Hizo picha picha naona inanitesa miee
Si mala ya kwanza mi kuonana nawee
Ila ni ya kwanza mi kuongea nawee
Naomba nikuambie ukweli wangu bibiee
Mi nimekupenda hilo naomba ujuwee
Uwelewe utambuwe inanitesa moyo wee
Naomba niwe nawe mateso yapunguwee
Jina lako nzuri mpaka asha bibiee
Unanichanganya changanya mi mwenzako ujuwee
Nipe nafasi beibee
Iyeiyee
Twende nyumbani baby gaaa
Iyeiyeiyee
Nipe nafasi baby beibee
Mi nataka niwe wako naomba unipokee nifuraahi
Kama uzuri wee ni mzuri sijaona dosari
Mamiy nikubali moyo wangu uwe shwari
Twende home umuone Dady twende umeona Mamy Ahaa
Nitafurahi ukikubali kwenda home umuone mamy girl nitajisifu mwa watu kuwa nyota yangu karii jinsi ulivyo bombaa umenibambaa ujanja tena sinaa ndo maana nasema
Nafasi nikiipata nitaringa iyaiyayaa honey nitaringa na tukienda kwa wangu ma maaa atafurahi yaani atakubeba kimwana waamii akiimba na kucheza honey iii
Nafasi nikiipata nitaringa iyaiyayaa honey nitaringa na tukienda kwa wangu ma maaa atafurahi yaan atakubeba kimwana waamii akiimba na kucheza honey iii
Nipe nafasi beibee
Iyeiyee
Twende nyumbani baby girl
Iyeiyeiyee
Nipe nafasi beibee
Mi nataka niwe wako naomba unipokee nifuraahi
Nipe nafasi beibee
Iyeiyee
Twende nyumbani baby girl
Iyeiyeiyee
Nipe nafasi beibee
Mi nataka niwe wako naomba unipokee nifuraahi
Niipee nafas beibee mi niishi nawee aae aee uwe wangu wewee nafasi beibee mi niishi nawee aae aee uwe wangu wee nyumbani niende nawee umuone mamiy ae mrembo wangu Wee akuna zaidi ya weee